Hajawahi kutokea kama Jay Jay Okocha hapa Afrika

Kwa uwezo wa dinho na alichokifanya, (anavyoimbwa) ni sawa sawa, anapata stahiki sawia na kiwango chake.
Kwa uwezo wa okocha na anavyoimbwa ni tofauti, kwa kioaji chake ilibidi aimbwe zaidi, ila alikosea kwenye aina yake ya uchezaji ndio maana haimbwi sana. Okocha tunamuimba zaidi huku afrika, uingereza ni labda bolton tu, na ukifika pale mpaka uwakumbushe, psg sio sana, labda uturuki alikopewa hadi uraia wa heshima.

Mkuu Okocha aimbwe kwa kipi? Amefanya nini kwenye ulimwengu wa Soka? achivemvent yake kubwa ulaya ni kucheza Bolton timu inayopambana kutoshuka daraja.
 
Augustine Azuka 'Jay Jay' Okocha, Mchawi na Hizi yake kutoka Enugu

Usiku mmoja kule Kusini Mashariki mwa nchi ya Nigeria, Jimboni Enugu ile Agosti 14, 1973 alizaliwa Mchawi mmoja wa soka wakuitwa Augustine, ndio ni Augustine tu

Mitaa ya Enugu haikutaka kumwacha salama na jina lake la Augustine, wakaona kuna haja ya kumpachika jina la Jay Jay, ndipo wazungu na dunia tukaona isiwe kazi acha tumuite Jay Jay Okocha.

Mama yake Mzazi anakumbuka akimtuma dukani lazima atachelewa kurudi, atabetua chochote atakachokuta njiani, atasahau alichotumwa kama ataona watoto wanalipiga kandanda, alikua na uwezo wa kupiga danadana mpaka kitunguu au nyanya. 😊

Mechi za mtaani kwao ziligubikwa na majonzi kwa wapinzani, chenga zake zilitegua nyonga, watoto walivishwa na kuvuliwa makanzu, alifanya kila aina ya utukutu wa soka "football crimes".

Ushuhuda na maajabu waliokuwa wakishuhudia huko Enugu, Kusini Mashariki mwa Nigeria ulipaswa kutazamwa duniani kote, haikutosha klabu za Nigeria kuona mabalaa yake, bali burudani hii ilihamia duniani kote.

Jioni moja ya 1990, Okocha anasafiri mpaka Ujerumani Magharibi, kipindi hicho wametoka kutwaa kombe la dunia, Okocha safari yake ilikuwa kwenda kumpa salaam mshikaji wake alikua anakipiga Borussia Neunkirchen, ndipo hapa dunia ilimtambua.

Okocha alifika mazoezini kwa mshikaji wake, alikaa tu pembeni kutazama mazoezi yao, ila baadae Kocha alimualika afanye nao mazoezi, kilichotokea baada ya pale ni kusaini mkataba😂 ndipo hapo safari ilianza pale Bundesliga.
.
Alisainiwa baadae Frankfurt ya Jupp Hynkes, alifanya maajabu makubwa sana, aliwahi kupiga bao mbele ya Oliver Kahn kwa kumzunguka mara tatu🙌 moja kati ya bao bora mpaka kesho Ujerumani, fundi mmoja Mchawi kutoka Afrika.

Maajabu ya mguu wake yalienda mpaka PSG, pale alikutana na mafundi wenzake kama Dinho, Laurent Robert na Ali Bernabia😊 ila maajabu yote ya Dinho anakwambia yeye kwa Okocha anavua kofia, Dinho anakwambia hajawahi kumuona Jini Mpira kama Okocha.

Mtaalam wa step overs, free kicks na chenga za maudhi, mguu mwepesi na akili nyepesi, Mchawi mmoja kutoka Enugu pale Nigeria, aliyewahi kutimiza na kuweka rekodi pale Bolton.
Hata mimi nilikuwa napenda sana jinsi alivyokuwa analisakata pira.
 
Umesoma nili
Mkuu Okocha aimbwe kwa kipi? Amefanya nini kwenye ulimwengu wa Soka? achivemvent yake kubwa ulaya ni kucheza Bolton timu inayopambana kutoshuka daraja.
Umesoma vizuri nilichoandika mkuu, umekielewa.. Sijasema aimbwe ila nimesema haimbwi sawa na kipaji chake kwa sababu kuna vitu alikosa kama wenzie kina dinho, japo kwenye sekta ya vipaji, vipaji vyao vinawiana.
Shida kubwa alikuwa anacheza sana na jukwaa.
 
Augustine Azuka 'Jay Jay' Okocha, Mchawi na Hizi yake kutoka Enugu

Usiku mmoja kule Kusini Mashariki mwa nchi ya Nigeria, Jimboni Enugu ile Agosti 14, 1973 alizaliwa Mchawi mmoja wa soka wakuitwa Augustine, ndio ni Augustine tu

Mitaa ya Enugu haikutaka kumwacha salama na jina lake la Augustine, wakaona kuna haja ya kumpachika jina la Jay Jay, ndipo wazungu na dunia tukaona isiwe kazi acha tumuite Jay Jay Okocha.

Mama yake Mzazi anakumbuka akimtuma dukani lazima atachelewa kurudi, atabetua chochote atakachokuta njiani, atasahau alichotumwa kama ataona watoto wanalipiga kandanda, alikua na uwezo wa kupiga danadana mpaka kitunguu au nyanya. [emoji4]

Mechi za mtaani kwao ziligubikwa na majonzi kwa wapinzani, chenga zake zilitegua nyonga, watoto walivishwa na kuvuliwa makanzu, alifanya kila aina ya utukutu wa soka "football crimes".

Ushuhuda na maajabu waliokuwa wakishuhudia huko Enugu, Kusini Mashariki mwa Nigeria ulipaswa kutazamwa duniani kote, haikutosha klabu za Nigeria kuona mabalaa yake, bali burudani hii ilihamia duniani kote.

Jioni moja ya 1990, Okocha anasafiri mpaka Ujerumani Magharibi, kipindi hicho wametoka kutwaa kombe la dunia, Okocha safari yake ilikuwa kwenda kumpa salaam mshikaji wake alikua anakipiga Borussia Neunkirchen, ndipo hapa dunia ilimtambua.

Okocha alifika mazoezini kwa mshikaji wake, alikaa tu pembeni kutazama mazoezi yao, ila baadae Kocha alimualika afanye nao mazoezi, kilichotokea baada ya pale ni kusaini mkataba[emoji23] ndipo hapo safari ilianza pale Bundesliga.
.
Alisainiwa baadae Frankfurt ya Jupp Hynkes, alifanya maajabu makubwa sana, aliwahi kupiga bao mbele ya Oliver Kahn kwa kumzunguka mara tatu[emoji119] moja kati ya bao bora mpaka kesho Ujerumani, fundi mmoja Mchawi kutoka Afrika.

Maajabu ya mguu wake yalienda mpaka PSG, pale alikutana na mafundi wenzake kama Dinho, Laurent Robert na Ali Bernabia[emoji4] ila maajabu yote ya Dinho anakwambia yeye kwa Okocha anavua kofia, Dinho anakwambia hajawahi kumuona Jini Mpira kama Okocha.

Mtaalam wa step overs, free kicks na chenga za maudhi, mguu mwepesi na akili nyepesi, Mchawi mmoja kutoka Enugu pale Nigeria, aliyewahi kutimiza na kuweka rekodi pale Bolton.
Anapiga watu kanzu mechi nzima mwisho timu yake inafungwa 3-0...skills zake zilikuwa hazisaidii timu tofauti na Ronaldinho alifanya ufundi huku akisaidia timu kupata ushindi na makombe ndo maana aliishia kucheza timu za kawaida tu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Alikuwa anachezea matimu mabovu
 
Augustine Azuka 'Jay Jay' Okocha, Mchawi na Hizi yake kutoka Enugu

Usiku mmoja kule Kusini Mashariki mwa nchi ya Nigeria, Jimboni Enugu ile Agosti 14, 1973 alizaliwa Mchawi mmoja wa soka wakuitwa Augustine, ndio ni Augustine tu

Mitaa ya Enugu haikutaka kumwacha salama na jina lake la Augustine, wakaona kuna haja ya kumpachika jina la Jay Jay, ndipo wazungu na dunia tukaona isiwe kazi acha tumuite Jay Jay Okocha.

Mama yake Mzazi anakumbuka akimtuma dukani lazima atachelewa kurudi, atabetua chochote atakachokuta njiani, atasahau alichotumwa kama ataona watoto wanalipiga kandanda, alikua na uwezo wa kupiga danadana mpaka kitunguu au nyanya. 😊

Mechi za mtaani kwao ziligubikwa na majonzi kwa wapinzani, chenga zake zilitegua nyonga, watoto walivishwa na kuvuliwa makanzu, alifanya kila aina ya utukutu wa soka "football crimes".

Ushuhuda na maajabu waliokuwa wakishuhudia huko Enugu, Kusini Mashariki mwa Nigeria ulipaswa kutazamwa duniani kote, haikutosha klabu za Nigeria kuona mabalaa yake, bali burudani hii ilihamia duniani kote.

Jioni moja ya 1990, Okocha anasafiri mpaka Ujerumani Magharibi, kipindi hicho wametoka kutwaa kombe la dunia, Okocha safari yake ilikuwa kwenda kumpa salaam mshikaji wake alikua anakipiga Borussia Neunkirchen, ndipo hapa dunia ilimtambua.

Okocha alifika mazoezini kwa mshikaji wake, alikaa tu pembeni kutazama mazoezi yao, ila baadae Kocha alimualika afanye nao mazoezi, kilichotokea baada ya pale ni kusaini mkataba😂 ndipo hapo safari ilianza pale Bundesliga.
.
Alisainiwa baadae Frankfurt ya Jupp Hynkes, alifanya maajabu makubwa sana, aliwahi kupiga bao mbele ya Oliver Kahn kwa kumzunguka mara tatu🙌 moja kati ya bao bora mpaka kesho Ujerumani, fundi mmoja Mchawi kutoka Afrika.

Maajabu ya mguu wake yalienda mpaka PSG, pale alikutana na mafundi wenzake kama Dinho, Laurent Robert na Ali Bernabia😊 ila maajabu yote ya Dinho anakwambia yeye kwa Okocha anavua kofia, Dinho anakwambia hajawahi kumuona Jini Mpira kama Okocha.

Mtaalam wa step overs, free kicks na chenga za maudhi, mguu mwepesi na akili nyepesi, Mchawi mmoja kutoka Enugu pale Nigeria, aliyewahi kutimiza na kuweka rekodi pale Bolton.
Dinho yupo juu kwa Okocha
 
Umesoma nili

Umesoma vizuri nilichoandika mkuu, umekielewa.. Sijasema aimbwe ila nimesema haimbwi sawa na kipaji chake kwa sababu kuna vitu alikosa kama wenzie kina dinho, japo kwenye sekta ya vipaji, vipaji vyao vinawiana.
Shida kubwa alikuwa anacheza sana na jukwaa.

kwanza unatovuka adabu mno kuanza kumtaja sambamba na Dinho
 
Achana nao.
 
Mpira zamni watu walikuwa wanapata nafasi kuonyesha skills zao/individual skills, siku hizi mpira ni teamwork zaidi, mpira zamani ilikua burudani sana.
 
Hapa kuna 'Kumbi na Kumbinga'.....!

Kwa wanaokijua hiki Kisa Waliwahi kuulizwa Tembo anafanana na nini..!

Mmoja akajibu anafanana na Ukuta, huyu alipapasa ubavu

Mwingine akajibu anafanana na ungo, huyo alipapasa Sikio.

Wote walikuwa vipofu...!

Sasa Kwa Wale waliowahi kuwashuhudia kina Pele, Maradona,Johan Cruyff,Franz Beckenbauer,Zinedine Zidane,Cantona,Alfredo Di Stephano na Wengine Watasemaje...!
 
kwanza unatovuka adabu mno kuanza kumtaja sambamba na Dinho
Huyo Ronaldinho wako ana muadmire okocha, anamkubali kweli kweli, kiasi alimlalamikia okocha ie haraka yake ya kwenda uingereza, ila angeenda spain angeinjoy soka.
Dinho anamkubali okocha.
 
waafrika tunapenda kujiburudisha kwa kweli
 
Back
Top Bottom