Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada anamsingizia mbowe jembe letu, ety Membe aliwahi kuja kwenye chama chetu cha chadema 😂Duuuu
Soma ulichoandika. .Alipita kwenye transition kwenda act
Sijakuelewa Mkuu.... Tafadhali...🤔🤔Mbowe amefanya KAZI ya state Kwa muda mrefu lakini safari hii amekiuka malengo ya dola Kwa ku favor wasiotakiwa kushika Dola Tena ndani ya CCM!
Kama mbowe akishinda uenyekiti atakua adui mkuu wa wenye dola yao!sitoshangaa kama akifuata nyayo za waliotangulia mbele za haki mapema kabla ya muda!Sijakuelewa Mkuu.... Tafadhali...🤔🤔
Aisee... Umenitafakarisha Sana MkuuKama mbowe akishinda uenyekiti atakua adui mkuu wa wenye dola yao!sitoshangaa kama akifuata nyayo za waliotangulia mbele za haki mapema kabla ya muda!
Why!!?
Kwasababu Kila mwenye ushawishi Alie upande was mama ni adui wa dola na atapukutishwa kama ulivyoona inavyoanza kutokea na itashika Kasi soon!!
Dola inataka wazalendo wanaoimba katiba mpya na sio conservatives was katiba iliyopo hao watakaushwa kimya kimya!!
Ndivyo ninavyoelewa na naamini uelewa wangu ni sahihi!!
Mbona comment nzito hii umeiandika kirahis sana namna hii?Mbowe amefanya KAZI ya state Kwa muda mrefu lakini safari hii amekiuka malengo ya dola Kwa ku favor wasiotakiwa kushika Dola Tena ndani ya CCM!
Nimekusoma sasaKama mbowe akishinda uenyekiti atakua adui mkuu wa wenye dola yao!sitoshangaa kama akifuata nyayo za waliotangulia mbele za haki mapema kabla ya muda!
Why!!?
Kwasababu Kila mwenye ushawishi Alie upande was mama ni adui wa dola na atapukutishwa kama ulivyoona inavyoanza kutokea na itashika Kasi soon!!
Dola inataka wazalendo wanaoimba katiba mpya na sio conservatives was katiba iliyopo hao watakaushwa kimya kimya!!
Ndivyo ninavyoelewa na naamini uelewa wangu ni sahihi!!
Chadema bila watu makini(giants)kama ilivyokuwa hapo nyuma ni kama chauma tu!Mbowe aliwahi kuwaleta CHADEMA wakina Lowasa, Sumaye, Membe, na hawa wote walikuja chadema wakijua kabisa watamuita mbowe bosi 😂😂.
Mbowe oyeee ,(Magufuli).
Pamoja na yote mazuri ya Mbowe ila mbowe muda umefika aachie chama kwa Lissu.