Hajawahi tokea Mwanasiasa nchini Tanzania kama Tundu Lissu! Mungu ana kusudi nae aendelee kumlinda

Huyu aliyesema mlinzi wa Magufuli amefariki au yule tutashitakiwa miga
Wewe unawajua walinzi wote wa Rais?

Kwani hatukushtakiwa? Unaishi Ulimwengu gani? Makampuni mangapi ya madini yameilipisha Tanzania mabilioni ya pesa?
 
Wewe unawajua walinzi wote wa Rais?

Kwani hatukushtakiwa? Unaishi Ulimwengu gani? Makampuni mangapi ya madini yameilipisha Tanzania mabilioni ya pesa?
Achana nae inzi wa kijani huyo
 
Watu wa hivi Huwa ni hatari kwenye jamii,they can't make a good leader .

Siku zote uwanjani Huwa Kuna fair play sio equal play Kwa sababu hiyo haiwezekani
 
Ungemaliza kabisa na URAIS, huna uhakika kivipi?
CCM kuutema urais ni pale TISS watakaposema hapana kuwa mazuzu tena. Sio shughuli ndogo ila tuzidi kuomba.

Kwa sasa kwa wananchi walivyoamka watakuwa radhi kuruhusu Katiba Mpya iliyo bora ila kwa urais najua itakuwa ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…