Hapa ni uwazi na ukweli.
Andika maneno hayo kuungana na mashabiki wenye akili timamu ambao hatutaki utoto kwenye mpira.
Aliwahi kusema wenye akili yanga ni wawili tu tena akimaanisha, hivo alituona wajinga.
Aliwahi kusema toka akiwa mdogo/ mtoto akiona yanga imeshinda alikua anajificha gizani na mawe na kuwarushia mawe wanayanga, huyu mtu ana chuki ya asili na wana yanga.
Hatumtaki haji ndio iwe kauli mbiu yetu hadi viongozi wajue 100% haji mashabiki wa yanga hatumtaki, yeye aendelee na mitikasi mingine tu kama kawaida yake.