Haji Alisema, Yanga wenye akili ni wawili tu, Andika neno " hatumtaki Haji" ili uongozi ujue mashabiki hatuna habari nae

Haji Alisema, Yanga wenye akili ni wawili tu, Andika neno " hatumtaki Haji" ili uongozi ujue mashabiki hatuna habari nae

Vizee mchoko Kama nyie, mkitoka kwenye kubeba viroba vya unga kwa Bakhersa mnajiita wa mjini. Stupid
Watu wa mjini hatutukani brother na kwa matusi yako najua ni life tu inakupeleka mbio ndio maana full stress...mimi sio mzee sema najitambua siwezi kuanza kutukana watu mitandaoni na pia malezi bora..na sio bora malezi hizo ndio athari zake hizo...
 
Mathayo 12: 34...'Kinywa cha mtu hunena yaujazayo moyo wake.'
Huyu ataendelea kuwahadaa Yanga hadi lini? Hivi ni bahati mbaya tu kwa vile ndiyo ukweli au amedhamiria ili kuwakera wale wana Yanga wanaotaka aondoke kuwaambia kuwa hawana cha kumfanya kwani tajiri mwenyewe anamkubali?
 
Back
Top Bottom