Watu wa mjini hatutukani brother na kwa matusi yako najua ni life tu inakupeleka mbio ndio maana full stress...mimi sio mzee sema najitambua siwezi kuanza kutukana watu mitandaoni na pia malezi bora..na sio bora malezi hizo ndio athari zake hizo...
Huyu ataendelea kuwahadaa Yanga hadi lini? Hivi ni bahati mbaya tu kwa vile ndiyo ukweli au amedhamiria ili kuwakera wale wana Yanga wanaotaka aondoke kuwaambia kuwa hawana cha kumfanya kwani tajiri mwenyewe anamkubali?