Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 May 8, 2019 #1 Maneno ya kejeli yamemtokea puani. Inabidi atimize ahadi yake ahamie Yanga. Lakini nasema, Haji baki huko huko Mikiani. Yanga hatuna dispensary ya Milembe.
Maneno ya kejeli yamemtokea puani. Inabidi atimize ahadi yake ahamie Yanga. Lakini nasema, Haji baki huko huko Mikiani. Yanga hatuna dispensary ya Milembe.
B Baba Kiki JF-Expert Member Joined May 31, 2012 Posts 1,544 Reaction score 943 May 8, 2019 #2 Sibonike said: Maneno ya kejeli yamemtokea puani. Inabidi atimize ahadi yake ahamie Yanga. Lakini nasema, Haji baki huko huko Mikiani. Yanga hatuna dispensary ya Milembe. Click to expand... Akaungane na Zahera, watatengeneza combi safi sana
Sibonike said: Maneno ya kejeli yamemtokea puani. Inabidi atimize ahadi yake ahamie Yanga. Lakini nasema, Haji baki huko huko Mikiani. Yanga hatuna dispensary ya Milembe. Click to expand... Akaungane na Zahera, watatengeneza combi safi sana
L Laki Si Pesa JF-Expert Member Joined Dec 20, 2018 Posts 5,085 Reaction score 9,022 May 8, 2019 #3 Abaki huko huko kwa mbu mbu mbu wenzake, asituletee nuksi zake