Haji baki huko huko Simba

Haji baki huko huko Simba

Maneno ya kejeli yamemtokea puani.

Inabidi atimize ahadi yake ahamie Yanga.

Lakini nasema, Haji baki huko huko Mikiani. Yanga hatuna dispensary ya Milembe.

Akaungane na Zahera, watatengeneza combi safi sana
 
Back
Top Bottom