kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Moja Kati Ya Interviews za ajabu ambazo amewahi kufanya ni hii ambapo amefikia hatua Kusema kuwa Yeye Hawezi tena Kuizungumzia Taifa Stars...!
Taifa Stars...! Nini tena atazungumzia?
Akaisemee Kenya? Uganda? UK? au USA..?
Wapo Watu Wanatafuta nafasi Waizungumzie Nchi yao Kupitia Stars, bado Hawajaipata.
Kwamba yeye Sio Mtanzania tena hajali Tanzania yupo Kundi gani, kapangwa na nani makundi AFCON haimuhusu.
Kwanini haya maneno Yanamtoka Kipindi hichi?
Najaribu kumtafakari.
Yawezekana kuna kitu anakiona kwa Sasa. Bila Shaka baada ya Kupumzishwa kwa Kufungiwa alikuwa na Mategemeo kuwa Vitengo vya habari vya Vilabu alivyovihudumu Vitapwaya. Na atakumbukwa sana na Watu
Kum miss, lakini haijawa hivyo. Maisha yameendelea, Na Soka La Bongo ndo Kwanza Linazidi Kupanda.
Mazingira ya Sasa yamebadilika Kabisa..! Vijana waliopewa mikoba Yake , Sio tu Viatu VimewaTOSHA bali Wamepitiliza Matarajio Kwa Kuwa Wabunifu Zaidi yake.
Hamasa Kipindi chake Zilikuwa Zinaishia Kutoa Slogans na kufanya Media tours Kwenye Vituo Viwili vitatu vya Media.
Hawa madogo wa Vitengo vya habari vya Simba na Yanga Media tours Wanazifanya, Lakini Wanaingia Mitaani na Vispika, Kubrand Wachezaji, Beach soka baina ya Matawi, kampeni za Kibegi...nk. zote hizo Zimeeeenda mbaya..!
Halafu Manara Akizingatia Umri Unamtupa Mkono, Wakati madogo ndo Kwanza Wanaanza Carrier zao...! Usipagawe We nani?
Huyu Mzee kaona anasahaulika, Kwanini asipaniki?
Wadau wanajiuliza Haji Bin Manara ni nini Kimemsibu?