DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Umeandika upuuzi tupu.....Haji ataendelea kuwepo sana kwenye mpira kwakua anaupenda na unampa rizki. Huu upepo utapita na ata huu uongozi utaondoka na yeye ataendelea na kazi zake...
Haji ni nani katika soka la nchi mpaka ifike kipindi sheria ziwe juu yake?acheni kudekadeka ,nyie ndio mnamharibu huyo mpuuzi.
Soka la nchi hii limepitia kipindi kigumu sana huko nyuma mpaka kuitwa KICHWA CHA MWENDAWAZIMU sababu ni watu kama hao kina haji maneno maneno mengi fitna kibao ilimradi kurudishana nyuma,leo hii kipindi cha KARIA timu zetu zimepiga hatua kubwa sana kuanzia ngazi za vilabu mpaka taifa kwa soka la kiume mpaka la kike.
Anayemsapoti huyu amphibia mimi namuona mpuuzi kama wapuuzi wengine. Ulaya hakuna watu wapuuzi kama hao kina haji katika soka lao na ndio maana wanaendelea kila siku,
Haji ni kirusi tupa kule