JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Nimependa hili andiko la @aadamskitundu , tulisome wote tutajifunza kitu....
Mpaka Sasa GSM Hawajafanya Malipo Yoyote Ya Kimkataba Kwa Klabu Yoyote Ya Ligi Kuu Tanzania Bara.
Halafu Hapo Hapo Wanataka Kutumia Kigezo Cha Simba Sc Kutojihusisha na Mkataba Wao Kama Ngao Ya Kusifia Maamuzi Hayo Waliyachukua GSM.
Huyu HAJI MANARA Amekuwa Kama Kasuku tu wa GSM, Au Mbwa Koko Asiye Na Rafiki!!! Bali Rafiki Yake Ni Yule Ampaye Ukoko Tu.
Wanajitekenya Na Kucheka Wao Wenyewe!!! TAKUKURU WAKO MACHO.
Na Nimeanza Kukemea Muda Sana Ubaya Wa GSM, Leo Hii Wote Mumeshuhudia Ushuzi Wao.
Mjifunze Kupongeza Juhudi Zetu Na Sio Kutukana Tu.