LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
hajismanara Wakulungwa wa kibongo waliopo South huuita lile Jiji kama Debeni,,,
Yes ni Durban !!!
Familia ya kitajiri isiyo na makeke ya Bakhresa inamiliki kiwanda kikubwa cha Unga chenye uwezo wa kuzalisha Tani 750 Kwa siku!!
Tuelewena kwanza,,,hiki kiwanda kipo Debeni na Tani 750 zinazalishwa hapo ktk kila Saa 24 Dadadeki!!
Sasa kipi kikushangaze Shilingi Bilioni 223 zikiwekwa ktk football ya nchi hii tena bila ya mbwembwe wala mmoja wa Memba wa familia hyo kuwepo?
223 Bilioni ukizipanga noti za Ten Ten zinatoka Dar hadi Brazil na kurudi hadi Pakistan kisha zinaenda hadi Cape Verde na kutokomea hadi Kilwa,,
Hapo sijaongelea mkwanja waliolamba Dar Young Africans?🤪🤪
@officialbakhresagroup 💪🏿💪🏿