Kabisa, Kuna kazi na kuna Mapenzi.Drogba alikuwa mpenzi wa arsenal lakini hakuwahi kuacha kutuadhibu.
Mapenzi weka kule watu wanafata FWEDHA.
Kuniambia manara kiasili ni shabiki wa yanga mimi siamini kwakweliManara ni yanga Ila alikuja Simba kwa ajili ya kutafuta maisha, Mimi simlaumu Ahmed Ally Kama ni yanga Ila nawalaumu viongozi wa Simba Kama itakuwa kweli kwanini hawakufanya uchunguzi wa kutosha kabla ya kumsajili?
Hivi Tangia kukua kwako umewahi kusikia mtu anahama ushabikinwa Simba na yanga?Kuniambia manara kiasili ni shabiki wa yanga mimi siamini kwakweli
Tena kwa umri wa 40+Hivi Tangia kukua kwako umewahi kusikia mtu anahama ushabikinwa Simba na yanga?
Alli kiba na harmonizeHivi Tangia kukua kwako umewahi kusikia mtu anahama ushabikinwa Simba na yanga?
Hao ni wasanii si wa muziki tuu hata maisha, harmonize uhasama wake na diamond sawa na alikiba Ila moyoni Kila mtu ana mapenzi ya asili ya timu yakeAlli kiba na harmonize
Manara anawachora tu mumpe pesa za kuolea ila mkifungwa anachekea chooni.Ila hii picha inamuonesha kabisa huyu dogo ni Mwananchi eti!! Sema tu ndiyo hivyo! Ameamua kujitafutia mkate wake wa kila siku mahali pengine.
Yaani ni sawa na kusema eti Ali Kiba ni Simba!! Aisee nitakataa milele. Huko yuko kwa ajili ya pesa tu. Ila mapenzi yake yote yatabakia kuwa Yanga.
Anapigaje pesa ya Gharib wakati Gharib mwenyewe ni Simba. GSM yupo kibiashara zaidi.Huyo Haji mwenyewe ni Simba yupo Yanga kupiga hela ya Ghalib tu. Akilewa huwa anaropoka .
Kwahiyo point yako ni nini hasa? Maslahi ndiyo yanawafanya watu wakaziacha asili zaoHao ni wasanii si wa muziki tuu hata maisha, harmonize uhasama wake na diamond sawa na alikiba Ila moyoni Kila mtu ana mapenzi ya asili ya timu yake
Ushabiki wa Simba na yanga kwa Tanzania ni zaidi ya dini,Kwahiyo point yako ni nini hasa? Maslahi ndiyo yanawafanya watu wakaziacha asili zao
Manara je?Manara yupo sahihi sana, Ahmed Ally ni Mshabiki wa Young Africans kitambo tu
Na ukimwita NDUNDUKA au KOLO mtagombana
Muda utasema
Hii ya kwamba Drogba alikuwa mshabiki wa Arsenal hapa mkuu umetupigaDrogba alikuwa mpenzi wa arsenal lakini hakuwahi kuacha kutuadhibu.
Mapenzi weka kule watu wanafata FWEDHA.