Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Sasa kama watu wazima wa nchi ni kama oscar oscar na manara unadhani vijana watakuajeHili taifa liwekewe screen protector maana so kwa akili hizi za vijana.
Vipi kiwanda chenu cha magodoro kinaendeleaje?Umemaliza kuzungusha sabuni za kanjibae kwanza?
Huyu ndo alisema Hersi kaisha kamilisha malipo ya kumnunua chama na sasa anacho subiria ni press tuJamaa liko very powerful and influential yaani unaambiwa jana wachezaji wote 11 wa simba ambao mikataba yao inaisha kiuunyoonge walimpigia simu kuomba kujiunga utopoloni albino likakataa katukatu tena simu ya manula ndo kabisa aliizima kwa hasira
Jamaa linajua sana kwa kweli
Tena na sherehe tunafanyaDaaaah kweli kabisa. Mtoto wako class akiwa wa 300 ndio kapanda kimasomo?
Ewaaa, ndio mimi ππNilivosoma jina lako kwenye I'd unaitwa " mawawa' [emoji28][emoji1787][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23] kwahy mtoa maada ni aina ya kina Oscar na manaraSasa kama watu wazima wa nchi ni kama oscar oscar na manara unadhani vijana watakuaje
π π π π π πHakika Manara ni mmoja tu simba mmepoteza mtu hapa, toka Bugatti amejunga na vinara wa ligi kuu tz bara yanga.
Amefanikiwa kuipaisha pakubwa clabu hiyo kwenye viwango vya caf, ikumbukwe kuwa, yanga ilikuwa ya 304 kwa ubora barani Africa kabla ya kujiunga nao.
Kutokana na maneno yake yenye bashasha na press za mara kwa mara kumeifanya club hiyo kongwe nchini kupanda nafasi nne zaidi na sasa ipo nafasi ya 300 kwa ubora barani Africa ngazi ya vilabu.
Hii ni hatua kubwa san kwa mabigwa hao wa kihistoria nchini, niuombe uongozi wa yanga kuongeza bajeti zaidi kwenye kitengo cha press ili kuipa mafanikio zaidi club hiyo.
Mleta mada kawapiga na kitu kizito utopolo, msome vizuri.Ushindi ni uwanjani na mdomoni. Siku zote clubs hupanga ngazi ya ubora wa kiwango cha soka africa na duniani kutokana na mataji wayapatayo na ushindi wa mechi wanazocheza uwanjani kimataifa na si vinginevyo, haijawahi kutokea duniani clubs kupanda ngazi ETI kwasababu ya msemaji wake wa club. Haijawahi kutokea na na haitatokea. Chezeni mpira uwanjani