Haji Manara aisambaratisha Yanga, awataka wasuse

Kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kudhalilisha utambulisho wa timu au taifa kwa kuichafua NEMBO yao
 
Kwani mlipompeleka Senzo polisi alifanywa nini kama si klabu yenu kudhalilika
 
Kuanzia sasa pls morrison usifunge kidimbwi anataka kususa ligi kuu hahahaaaaaaa....
 
Tajir yao anashinda kula mabiriani na manyara huko..watamfanya nini?

Wao wwenyewe wanataka wabakie kwenye media kwa namna yeyote ile.
 
thread ya kipumbafu kuwahi kutokea eti aisambaratisha huyu vuvuzela ataanzia wapi kuisambaratisha
 
Kwa hiyo Manara sasa msemaji wa UTOPOLO. Aende zake KIFULAFUFU mkubwa huyu. Na yeye ni UTO. Iko siku atajimiliksha Yanga na kudai yeye ndiye aliyewapa ubingwa Yanga( just in case) na Yanga haikuwa na mashabiki kabla yake.
Barbara didn't buy a crap from him. Asante sana Barbara kwa kutuondolea snitch kwenye chama letu.
 
Huyo Babra naye ni Yanga lialia hapo Simba yupo kikazi tu.
Nilishaiona picha yake wakati fulani kavaa jezi ya Yanga akiishangilia Yanga.
Usiwaamini watu hasa linapokuja swala la Pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…