Jjmwaipopo
Senior Member
- Jan 11, 2020
- 189
- 122
Kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kudhalilisha utambulisho wa timu au taifa kwa kuichafua NEMBO yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manara hawezi kuisambaratisha yanga kwa ulipyoto
Haji Manara ameizima Yanga na kuisigina kabisa. Msuso umewarudia wenyewe
Tajir yao anashinda kula mabiriani na manyara huko..watamfanya nini?Hivi Yanga pana uongozi pale kama manara anaweza kuidhalilisha ya Yanga na uongozi ukakaa kimya basi kuna tatizo mpeleke mahakamani huyu mhuni anayeshinda kwenye mitandao kila wakati mjue huyu anaweza kusababisha kuporomoka kwa biashara take action now
Tuweke akiba ya manenoHaji Manara has mindfucked the entire Utopolo nation
Wadau wa mbeya hawana cha kupoteza.[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1707486
Au sio mpiga debe wa Kanjibai Mwamedi,njoo utupe mrejesho.
Haji Manara ameizima Yanga na kuisigina kabisa. Msuso umewarudia wenyewe
Huyo Babra naye ni Yanga lialia hapo Simba yupo kikazi tu.Kwa hiyo Manara sasa msemaji wa UTOPOLO. Aende zake KIFULAFUFU mkubwa huyu. Na yeye ni UTO. Iko siku atajimiliksha Yanga na kudai yeye ndiye aliyewapa ubingwa Yanga( just in case) na Yanga haikuwa na mashabiki kabla yake.
Barbara didn't buy a crap from him. Asante sana Barbara kwa kutuondolea snitch kwenye chama letu.
Mkuu tunaheshimiana naomba usiniite majina ya kudhalilisha,unless na wewe nikuweke kwenye kundi lile lile twende sawaAu sio mpiga debe wa Kanjibai Mwamedi,njoo utupe mrejesho.