dah watu wanapovu... nilisikiaga kuwa mwaka jana Simba ilipigwa sita SAUZI, ikarudi ikawa bingwa wa ligi, bas ninavyoona bora waendelee kufungwa sita katika mechi za kirafiki ili wakija wawe tena mabingwa, tena ikibid wafungwe 12 ili wakija wauchukue ubingwa wa Afrika...πππππππ
nahis wazee wa jangwani wanatafuta mambo ya kubalance sheet.. maana walikuwa nne kwenye CAF... na hawana uhakika mech ya dar watakula ngapi so wanaamua kuanza kubalance mambo kabisa kuwa na simba walifungwa sita kwenye kirafiki.
πππππ