Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Wiki kasoro mojaKWANI IMEFUNGWA NGAPI?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wiki kasoro mojaKWANI IMEFUNGWA NGAPI?
Wiki kasoro moja
Alikuwa ni Paul James aliyesoma habari hizi za uzushi.Unajua Clouds ni kikundi fulani ambacho Kazi yao ni uchonganishi
Kama sikosei hiyo timu ni ya UswiziNasikia hiyo timu inaitwa grasshopper sijui
Halafu alitimuliwa radio one kwa ulevi, baadaye akaenda kwa wadaku wenzake clouds, akajaribu efm nako akaona maji ya shingo..ni mpuuzi fulani hiviAlikuwa ni Paul James aliyesoma habari hizi za uzushi.
Sasa sijui chanzo chake cha habari alikipata wapi..?
Alafu PJ alisukumwa na mahaba ya Jangwani ,tunamfahamu kuwa ni shabiki wa kandambili.
Yanga ingekula 12-0Mnapenda kusifiwa tu! Ndo hivyo tumesha jua kuwa mmekula 6-0
hahaaaaaSimba wamefungwa 8 Sasa Manara anashangaa kwa nini imetangazwa 6
South walipigwa Saba sio sita.kwani wanakaa muda gani huko hadi uone hizo siku mbili hazitoshi kucheza mechi!?..kula sauzi zile sita mlibiishaaa!
Povuu mtani unatulowesha,zile Saba za South mlikanusha pia.Clouds matako yenu
[emoji23][emoji23][emoji23]Wiki kasoro moja
aiseehSimba wamefungwa 8 Sasa Manara anashangaa kwa nini imetangazwa 6