Tetesi: Haji Manara ajipanga kumburuza MaiMartha Mahakamani kwa kumkashfu yeye na Mkewe.

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Inadaiwa Haji na Mkewe Zai, wanamtuhumu MaiMartha Jesse kwa kumtusi Mkewe Zailyisa kupitia mahojiano na Online Tv yake ya Mai Tv, kuwa ni mwanamke asiyefaa kuwa mke wa Mtu kutokana na kitendo chake Cha "Kutoka" na ex wake siku Moja kabla ya mfungo wa mwezi mtukufu, walipokutana katika harusi ya mrembo mmoja maarufu Tanzania

Pia Mai anatuhumiwa kwa kumuita Haji kuwa ni Mume goi goi na asiyefaa kuwa Mume wa Mtu.

Kwamba maneno haya ya kashfa yameharibu taswira Yao na kuwashushia heshma katika jamii na kazi zao.

Hivyo Haji amemtaka MaiMartha amlipe fidia ya shilingi billion Moja (1,000,000,000/=) na amtake radhi hadharani.
 
Yule Sope anapenda kuchachafya wenzie ila akiguswa yeye anata duniani mzima imtetee
Jamaa ni mjinga sana yeye kukashifu wenzake ni burdan, ila yeye akipigwa spana anajifanya mtu asie na hatia na anaeonewa, jitu kama lile hata ukaribu nalo halifai, nafikiri Hersi aligundua ndo maana kamuweka mbali
 
Mpeleke Mahakamani ukamdai fidia kama alishawai kukufanyia shambulio la haibu.
 
Uko mjini kuna KAZI ndio akinanani uko.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Inadaiwa Haji na Mkewe Zai, wanamtuhumu MaiMartha Jesse kwa kumtusi Mkewe Zailyisa kupitia mahojiano na Online Tv yake ya Mai Tv, kuwa ni mwanamke asiyefaa kuwa mke wa Mtu kutokana na kitendo chake Cha "Kutoka" na ex wake siku Moja kabla ya mfungo wa mwezi mtukufu, walipokutana katika harusi ya mrembo mmoja maarufu Tanzania

Pia Mai anatuhumiwa kwa kumuita Haji kuwa ni Mume goi goi na asiyefaa kuwa Mume wa Mtu.

Kwamba maneno haya ya kashfa yameharibu taswira Yao na kuwashushia heshma katika jamii na kazi zao.

Hivyo Haji amemtaka MaiMartha amlipe fidia ya shilingi billion Moja (1,000,000,000/=) na amtake radhi hadharani.
Japo wamefanya jambo jema, lakini hawajashushiwa heshima kwasababu sioni kama Manara ana heshima kwa jamii maana ndiye anaongoza kwa kutweza utu wa watu tangu zamani
 
Back
Top Bottom