Haji Manara alikuwa sahihi kwa kauli yake hii

Haji Manara alikuwa sahihi kwa kauli yake hii

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Ukipitia comments za mashabiki wa yanga aka utopolo baada ya Simba kupeperusha vizuri bendera ya Tanzania huko Botswana, utafikia hitimisho kuwa Haji Manara alikuwa sahihi kwenye kauli yake kuwa mtu akiwa yanga hata kama ni profesa bado kichwani atakuwa na walakini!

Mtu anakuambia eti timu zote mbovu ila moja ni mbovu zaidi!! Kwa kusema hivyo anamaanisha kuwa yanga ni bora ila imetolewa na timu bora zaidi!! Ukimwuliza hiyo

Rivers united iliyo bora zaidi ni ya ngapi katika mkeka wa CAF wa ubora wa klabu za Afrika? Na hiyo yanga ni ya ngapi? Ukimwuliza hivyo anarusha matusi!! Msikilize Manara hapa!

 
Mnamtia hasara mhindi wa watu mpk akaona aende kulalamika na kuwadhalilisha huko Ulaya, umbwa sana nyie
 
Back
Top Bottom