Haji Manara alistahili kufukuzwa Simba kitambo

Haji Manara alistahili kufukuzwa Simba kitambo

Tunamtakia ndoa njema na hao mabwana wapya wosia wangu kwa Manara ni kwamba asisahau kuwa akiolewa ni lazima utunze siri za ndoa
 
UNAONGELEA CHUKI TU NA USHABIKI NA SIONI POINT ILA MARUDIO YA MAUMIVU YENU JUU YA MANARA, MBONA HAMKUONGEA HAYO WAKATI AKIWA KWENU?
 
UNAONGELEA CHUKI TU NA USHABIKI NA SIONI POINT ILA MARUDIO YA MAUMIVU YENU JUU YA MANARA, MBONA HAMKUONGEA HAYO WAKATI AKIWA KWENU?
Wewe unaweza kumtangaza mkeo kama ANAFESTULA kabla ya kuachana?

Si hadi aondoke kwa nyodo ndo unamchana laivu!!!!
 
Back
Top Bottom