Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!ina maana anajua hata penye urithi hayupo?kwny Msiba wa Tajiri Nyumba ndogo hulia kwa sauti kuliko Mjane
Amepewa adhabu na hadhabu ikiisha atarudi kwenye majukumu yake.Mbona unaudanganya umma wa michezo Haji Manara siyo msemaji wa simba alishafungiwa kujihusisha na masuala ya michezo
Mikutano ya vyama vya upinzani veepeeNinachoshukuru zama hizi haziangalii rangi wala kabila ni swala la muda tu tumerudishwa katika utawala wa sheria kama ni kilio atalia sana
Wacha wapete cha moto hizi club kongwe zinakaribia kutimiza miaka 100 hazina Hata uwanja wa mazoezi kisa zinaongozwa na wanyonyaji na wezi? Kwa hili sina ushabiki wala upande kiongozi mwizi mnyonyaji fisadi awe simba au yanga hafai mahali pake ni jela. Tena hawa wa Simba wakipatikana na Hata Mali zao zichukuliwe zikajenge ule uwanja kule BunjuNawaza tu.leo tarehe 30.mpaka tarehe 13 sio mchezo.