Haji Manara amewahi kucheza Soka?

Mkuu Kila kitu umekiweka wazi basi Uzi ufungwe.
 
Mara kasoma IST, mara mzumbe , mara ilboru mara kasoma chuo South Africa , mara kawa mwalimu wa madrasa ....

Tunachojua kuwa yeye ni chawa na
Inaskitisha kwa taarifa zilizopo kuwa pia yeye sio ridhiki ... Haya ndo yanafanya watu wamchukulie poa na sio huo umwamba unaousemea
 
Mkuu labda umesahau alipotoka mzumbe alienda Ilboru Arusha na Pale ndo alipoanza kujihusisha na soka.

Kama unaikumbuka kuna mechi moja alichezea AFC ya Arusha alipiga Kross alafu akaiwahi mwenyewe akaenda piga kichwa akaweka kambani.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wewe huna Akili Kwa hiyo huruhusiwi kusoma shule zaidi ya Moja? acha upumbavu
 
Manara kasoma shule ya awali IST Kama hutaki kuelewa endelea na ujuavyo wewe
 
Manara huyu huyu anayetaka kuitisha Press conference baada ya kuachwa?
 
Alienda Afrika ya Kusini kusomea mass communication
Asante Mkuu kutujuza,hebu tusaidie pia ni Chuo kipi huko Africa Kusini alichosomea? Na alisoma kwa level ipi? Ceritificate,Diploma or Bachelor degree?
 
Iko hivi Haji Manara Alizaliwa Amsterdam na baada ya hapo alisoma IST elimu yake ya chini kabisa Sasa wewe endelea kupinga.
Mbona sasa ile lugha inayotumika kufundishia pale IST ni mtihani kwakwe kama alisoma pale?
 
Manara kasoma shule ya awali IST Kama hutaki kuelewa endelea na ujuavyo wewe
Mkuu endelea kutujuza,usigadhibike na comments za wadau,kupitia wewe unatusaidia kumfahamu vizuri Haji hasa upande wa elimu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…