Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Mkuu Kila kitu umekiweka wazi basi Uzi ufungwe.![]()
Ifahamu historia ya Haji Manara - clickHabari
Miaka ya 1970, Tanzania ilimshuhudia Sunday Manara, mzaliwa wa Kigoma aliyejaaliwa ufundi wa kusakata kabumbu. Sunday alifahamika kama ‘computer’ kutokana na ufundi wake wa kipekee uwanjani. Januari 18, 1976, Sunday Manara alijaaliwa mtoto wa kiume, akamuita Haji, ndiye huyu ambaye leo jina lake...clickhabari.com
Hii vipi nayo?