[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona leo umechefukwa umeamua kumpa Manara haki yake, ila kweli na yeye asipende kupanic bila sababu hata anapoambiwa ukweli ye ni povu tuuPersonally si huyu tu bali huwa na Mapenzi na Mtu ambaye anajua sana Kufikiri au Mwerevu. Ukitaka kulithibitisha hilo tafuta ama arguments mbalimbali za Edo na za Manara au articles zao kisha zichambue kiumakini mno utakuja kugundua kuwa hata tu kwa uwezo wa IQ Edo Kumwembe yupo juu au mbali sana kumzidi Haji Manara ila Haji Manara anaweza kumzidi Edo Kumwembe kwa lugha za Kihuni na Upuuzi / Upupu wake uliotukuka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona leo umechefukwa umeamua kumpa Manara haki yake, ila kweli na yeye asipende kupanic bila sababu hata anapoambiwa ukweli ye ni povu tuu
Hata ww heshimu mawazo ya Haji ManaraHujalazimishwa kuniunga mkono bali unatakiwa pia kuheshimu maoni na mawazo ya Mtu. Kwa tunaoujua mpira wa Kibongo na hawa Wadau wa Kibongo wa kimpira basi kwa faida yako tu muulize Mtu yoyote kuwa kati ya Manara na Kumwembe nani ni Mnafiki hutoamini Watu wa mpira wengi watakuambia ni Haji Manara isipokuwa tu huo Unafiki wake hamuuoni kwakuwa anawapa maneno matamu na ya Kipuuzi / Kiupupu ambayo Wanamichezo wengi hasa Wanasimba SC kutokana na Umbumbumbu wenu mnamwamini.
AAA wakati mwingine wachambuzi wanaudhiKwanza nikiwa kama mwana Simba SC tena wa Kindakindaki namtaka Haji Manara ajifunze kuwa Mstaarabu na kuacha mihemko ya Kipumbavu. Namheshimu sana kama Msemaji wangu kwa Klabu yangu pendwa ya Simba SC ila kwa aina hii ya Upupu / Upuuzi dhidi ya Edo Kumwembe taratibu nadhani nitaanza Kumdharau.
Edo Kumwembe alichokiandika kwa 100% ni ukweli mtupu na wala hajatutukana sisi Wana Simba SC na badala yake nadhani kwa wenye akili zilizoshiba na kutukuka tunaona kuwa hiyo Makala yake imetuaidia kutufumbua ili tujipange zaidi ili tuwe na Kikosi cha Ushindani kati Confederation Cup ambapo kwa msimu ujao Simba SC tutashiriki baada ya kupotea kwa miaka takriban minne kama siyo hata mitano.
Haji Manara ajifunze kutofautisha Uhuni wake wa Kiswahili na Utaalam wa Mtu. Hakuna asiyejua uwezo wa Kiuchambuzi wa Edo Kumwembe na jinsi alivyo very neutral katika analysis zake ambazo kimsingi nyingi huwa ni Shubiri / Chungu kwetu lakini ni dawa / tiba kwetu pia.
Mwisho nimuumbue tu Haji Manara kwa kumwambia kuwa Personally namjua Edo Kumwembe na najua hata Wadau wenzangu wa mpira wanajua kuwa Mchambuzi wa Soka Edo Kumwembe ni Shabiki na Mwana Simba SC mkubwa sana na labda Yeye Haji Manara ndiyo anaweza akawa ndiyo Mnazi wa Yanga FC.
Hata ww heshimu mawazo ya Haji Manara
AAA wakati mwingine wachambuzi wanaudhi
Na kuita wavulana na wanaume kumbe hamna tatizo?100% ila katika articles na analysis zake huongozwa zaidi na Ueledi bila upendeleo kwa upande wowote na hili jambo ndilo limemfanya azidi kuaminika na kuheshimika hata na wana Yanga FC. Tatizo kubwa tulilonalo Watanzania wengi ni kwamba hatupendi na tunauchukia ukweli. Kimantiki andiko la Edo Kumwembe halina tatizo lolote / ubaya wowote ule ambao Msemaji wetu Haji Manara anausema.
Na kuita wavulana na wanaume kumbe hamna tatizo?
kweli....Wadau wa Soka wa Tanzania wanawahitaji akina Edo Kumwembe 100 tu kuliko kubaki na akina Haji Manara 5,000,000.
kabisa aisee........Ulemavu wowote unavumiliwa lakini huu wa akili ni hatari zaidi
Wao wanamuona jembe, ila ni kioja aisee........Akili ya Manara sio ya kuwaongoza wenye akili timamu... Wataendelea na umbumbumbu wa kujisifia kuifunga Yanga, maana ndio mafanikio na malengo ya team waingiapo kwenye ligi... Kwa wenye akili timamu watakua wamemuelewa sana kumwembe... Manara ana matatizo, tena sio madogo.
tushakuwa mambumbumbu tena? ok tutabishana ck nyngne ili unam bie km naww ulijua hivi ni vivulana ilkuwaj ulkuw unajdanganya vitachukua kombe? ulivipaj support asilimia mia hivi vivulana?Hujalazimishwa kuniunga mkono bali unatakiwa pia kuheshimu maoni na mawazo ya Mtu. Kwa tunaoujua mpira wa Kibongo na hawa Wadau wa Kibongo wa kimpira basi kwa faida yako tu muulize Mtu yoyote kuwa kati ya Manara na Kumwembe nani ni Mnafiki hutoamini Watu wa mpira wengi watakuambia ni Haji Manara isipokuwa tu huo Unafiki wake hamuuoni kwakuwa anawapa maneno matamu na ya Kipuuzi / Kiupupu ambayo Wanamichezo wengi hasa Wanasimba SC kutokana na Umbumbumbu wenu mnamwamini.
mpeleke eddo awe msemaj wa simba tuone. ultak manara ndo aikandie club yake? labda tuone kabla hajawa msemaj wa simba je alkuw hivi? tofautisha msemaj wa tim na mchambuz mkuuPersonally si huyu tu bali huwa na Mapenzi na Mtu ambaye anajua sana Kufikiri au Mwerevu. Ukitaka kulithibitisha hilo tafuta ama arguments mbalimbali za Edo na za Manara au articles zao kisha zichambue kiumakini mno utakuja kugundua kuwa hata tu kwa uwezo wa IQ Edo Kumwembe yupo juu au mbali sana kumzidi Haji Manara ila Haji Manara anaweza kumzidi Edo Kumwembe kwa lugha za Kihuni na Upuuzi / Upupu wake uliotukuka.