Haji Manara amjibu Eddo Kumwembe

Haji Manara amjibu Eddo Kumwembe

Edo ni Yanga na Arsenal, I know him, nimekua nae kabla hajaanza kuwa mchambuzi kwenye magazeti na TV
 
Personally si huyu tu bali huwa na Mapenzi na Mtu ambaye anajua sana Kufikiri au Mwerevu. Ukitaka kulithibitisha hilo tafuta ama arguments mbalimbali za Edo na za Manara au articles zao kisha zichambue kiumakini mno utakuja kugundua kuwa hata tu kwa uwezo wa IQ Edo Kumwembe yupo juu au mbali sana kumzidi Haji Manara ila Haji Manara anaweza kumzidi Edo Kumwembe kwa lugha za Kihuni na Upuuzi / Upupu wake uliotukuka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona leo umechefukwa umeamua kumpa Manara haki yake, ila kweli na yeye asipende kupanic bila sababu hata anapoambiwa ukweli ye ni povu tuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona leo umechefukwa umeamua kumpa Manara haki yake, ila kweli na yeye asipende kupanic bila sababu hata anapoambiwa ukweli ye ni povu tuu

Wadau wa Soka wa Tanzania wanawahitaji akina Edo Kumwembe 100 tu kuliko kubaki na akina Haji Manara 5,000,000.
 
Hujalazimishwa kuniunga mkono bali unatakiwa pia kuheshimu maoni na mawazo ya Mtu. Kwa tunaoujua mpira wa Kibongo na hawa Wadau wa Kibongo wa kimpira basi kwa faida yako tu muulize Mtu yoyote kuwa kati ya Manara na Kumwembe nani ni Mnafiki hutoamini Watu wa mpira wengi watakuambia ni Haji Manara isipokuwa tu huo Unafiki wake hamuuoni kwakuwa anawapa maneno matamu na ya Kipuuzi / Kiupupu ambayo Wanamichezo wengi hasa Wanasimba SC kutokana na Umbumbumbu wenu mnamwamini.
Hata ww heshimu mawazo ya Haji Manara
 
Kwanza nikiwa kama mwana Simba SC tena wa Kindakindaki namtaka Haji Manara ajifunze kuwa Mstaarabu na kuacha mihemko ya Kipumbavu. Namheshimu sana kama Msemaji wangu kwa Klabu yangu pendwa ya Simba SC ila kwa aina hii ya Upupu / Upuuzi dhidi ya Edo Kumwembe taratibu nadhani nitaanza Kumdharau.

Edo Kumwembe alichokiandika kwa 100% ni ukweli mtupu na wala hajatutukana sisi Wana Simba SC na badala yake nadhani kwa wenye akili zilizoshiba na kutukuka tunaona kuwa hiyo Makala yake imetuaidia kutufumbua ili tujipange zaidi ili tuwe na Kikosi cha Ushindani kati Confederation Cup ambapo kwa msimu ujao Simba SC tutashiriki baada ya kupotea kwa miaka takriban minne kama siyo hata mitano.

Haji Manara ajifunze kutofautisha Uhuni wake wa Kiswahili na Utaalam wa Mtu. Hakuna asiyejua uwezo wa Kiuchambuzi wa Edo Kumwembe na jinsi alivyo very neutral katika analysis zake ambazo kimsingi nyingi huwa ni Shubiri / Chungu kwetu lakini ni dawa / tiba kwetu pia.

Mwisho nimuumbue tu Haji Manara kwa kumwambia kuwa Personally namjua Edo Kumwembe na najua hata Wadau wenzangu wa mpira wanajua kuwa Mchambuzi wa Soka Edo Kumwembe ni Shabiki na Mwana Simba SC mkubwa sana na labda Yeye Haji Manara ndiyo anaweza akawa ndiyo Mnazi wa Yanga FC.
AAA wakati mwingine wachambuzi wanaudhi
 
Kuna baadhi wa wachezaj hawana quality ya kucheza simba manala una vivulana vingi tatzo
 
100% ila katika articles na analysis zake huongozwa zaidi na Ueledi bila upendeleo kwa upande wowote na hili jambo ndilo limemfanya azidi kuaminika na kuheshimika hata na wana Yanga FC. Tatizo kubwa tulilonalo Watanzania wengi ni kwamba hatupendi na tunauchukia ukweli. Kimantiki andiko la Edo Kumwembe halina tatizo lolote / ubaya wowote ule ambao Msemaji wetu Haji Manara anausema.
Na kuita wavulana na wanaume kumbe hamna tatizo?
 
Akili ya Manara sio ya kuwaongoza wenye akili timamu... Wataendelea na umbumbumbu wa kujisifia kuifunga Yanga, maana ndio mafanikio na malengo ya team waingiapo kwenye ligi... Kwa wenye akili timamu watakua wamemuelewa sana kumwembe... Manara ana matatizo, tena sio madogo.
Wao wanamuona jembe, ila ni kioja aisee........
 
Nimerudia tena na tena kusoma article ya Eddo Kumwembe. Lakini kama niliandika mahali pengine sijaona tatizo la msingi la Wanasimba wa kweli kumchukia na kumpa majina mabaya ya kiwango hicho. Alichoandika Eddo ni hakika na kweli kwa kiwango cha zaidi ya 95%, ila hakueleweka vizuri.

Ni kweli kwamba kwa takwimu na mwendelezo wa performance ya timu, Simba ni timu bora ktk ardhi ya Tanzania kwa msimu huu lakini it is not good enough!! Huu ni ukweli mchungu, lakini ni tiba sahihi. Simba iliongezeka ubora uwanjani tofuati na misimu 2 au 3 hivi, lakini pia ubora wa Yanga na Azam ulitetereka! Eneo ambalo Simba haikuwa vizuri kwa kiwango cha kimataifa ni eneo la ushambuliaji.

Sasa inapokwenda kimataifa, Simba ndio inashauriwa kutafuta wachezaji watatu (3) waliotayari kwa matumizi. Anatafutwa defender wa kiwango cha Africa wa kucheza na Mwanjale, au kuchukua namba yake kabisa. Anatafutwa kiungo mwenye mamlaka kama Patrick Mafisango. Mamlaka ya kuuendesha mchezo, na kuongoza wenzake, kupiga pasi hasa ndefu. Ni kweli kwamba Simba ndio timu yenye kiungo kizuri lakini mkude pamoja na uzuri wake wote hajashawishi kwa kuwa na mamlaka ya kimchezo, na hata upigaji wa pasi rula za kuifungua defence ya timu pinzani bado sio wa kiwango cha kugombania taji la Afrika. Aidha Simba haina mchambuliaji anayeweza kuvuta attention ya walinzi wa timu pinzani kama alivyokuwa Ngoma katika ubora wake. Huu ni ukweli mchungu!!!!

Mavugo, anaonekana ana kitu mguuni, lakini anapenda kuwa na mpira muda mwingi na hakuwa kiongozi wa wenzake ktk ushambuliaji. Hakujiamini hadi baadae sana. Naamini anaweza kufanya vizuri msimu unaokuja lakini unahitaji mtu mmoja mwenye kiwango cha zaidi ya Kipre Tchetche na aliyejengeka kimisuli ili wengine kama akina Kichuya, Ajibu na Mavugo wawike zaidi kupitia mgongo wake. Huu ndio ukweli. Nawahakikishia Kichuya atawika sana kama Simba itampunguzia attention ya kuonekana ndio kiongozi wa mashambulizi.

Hongera sana Eddo Kumwembe, na Hajji Manara jitafakari tena, punguza munkari
 
Mimi sijaiona hiyo makala ya Edo, ameandika kwenye ukurasa wa mtandao gani niitafutee????
 
Ohoo.. nishaiona iyo post ya Eddo, jamaa kaeleweka vibaya tuu lkn hajakosea kiivyo mi namsapoti Eddo he is absolutely right
 
Hujalazimishwa kuniunga mkono bali unatakiwa pia kuheshimu maoni na mawazo ya Mtu. Kwa tunaoujua mpira wa Kibongo na hawa Wadau wa Kibongo wa kimpira basi kwa faida yako tu muulize Mtu yoyote kuwa kati ya Manara na Kumwembe nani ni Mnafiki hutoamini Watu wa mpira wengi watakuambia ni Haji Manara isipokuwa tu huo Unafiki wake hamuuoni kwakuwa anawapa maneno matamu na ya Kipuuzi / Kiupupu ambayo Wanamichezo wengi hasa Wanasimba SC kutokana na Umbumbumbu wenu mnamwamini.
tushakuwa mambumbumbu tena? ok tutabishana ck nyngne ili unam bie km naww ulijua hivi ni vivulana ilkuwaj ulkuw unajdanganya vitachukua kombe? ulivipaj support asilimia mia hivi vivulana?
 
Personally si huyu tu bali huwa na Mapenzi na Mtu ambaye anajua sana Kufikiri au Mwerevu. Ukitaka kulithibitisha hilo tafuta ama arguments mbalimbali za Edo na za Manara au articles zao kisha zichambue kiumakini mno utakuja kugundua kuwa hata tu kwa uwezo wa IQ Edo Kumwembe yupo juu au mbali sana kumzidi Haji Manara ila Haji Manara anaweza kumzidi Edo Kumwembe kwa lugha za Kihuni na Upuuzi / Upupu wake uliotukuka.
mpeleke eddo awe msemaj wa simba tuone. ultak manara ndo aikandie club yake? labda tuone kabla hajawa msemaj wa simba je alkuw hivi? tofautisha msemaj wa tim na mchambuz mkuu
 
Back
Top Bottom