Haji Manara amuwakia vilivyo Shafii Dauda, amwambia asitafute ugomvi na wanasimba wote

Haji Manara amuwakia vilivyo Shafii Dauda, amwambia asitafute ugomvi na wanasimba wote

mwanahabari93

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
263
Reaction score
170
Povu la Haji Manara kwa Shaffih Dauda

"Tunajua ww una ugomvi wako binafsi na baadhi ya viongozi wa Simba.lakini usitafute ugomvi na wanasimba wote,Sie kufungwa sio wa kwanza na hatutakuwa wa mwisho.unatumia muda mrefu kuittack Simba na post zako za kijinga.kumbuka ww upo kwenye chombo cha habari na klabu yetu inaiheshimu sana cloudstv na mabosi wake rugemutahaba na josephkusaga, na tunajua unajikomba kwa Yanga baada ya kutaka kukupiga kwenye issue ya Akilimali..jipime bro vnginevyo utavunja heshma yako na ya clouds media pia..ila ukiona vp endelea ila jua Simba ni klabu kubwa sana" - Haji Manara kupitia mtandao wa Instagram.
 
MANARA.jpg
 
Haji Manara atampeleka Shafii FIFA, Haji manara sio mtu wa mchezo mchezo. Ni shujaa wa kutembea na TV wakati wenzake wanaziweka ukutani yeye anaiweka kwenye gari
 
Tatizo lingine linaloikumba Simba ni Haji Manara, huyu sio tu kwamba ni mbumbumbu bali pia ni mshamba wa viwango vya kigodoro.
Msemaji asiyetaka timu yake ikosolewe ila isifiwe tu hata pale inapoboronga, anataka katika kipindi hiki cha uwazi watu wasimpige picha Kichuya alipokacha benchi na kwenda zake kula mziki?
 
02290b8a3d17d2351b6f8973c6402e09.jpg
9c92340ec4c175916a8246f41a7c87b8.jpg

"Tunajua wewe una ugomvi wako binafsi na baadhi ya viongozi wa Simba, lakini usitafute ugomvi na wanasimba wote.

Sisi kufungwa sio wa kwanza na hatutakuwa wa mwisho, unatumia muda mrefu kuittack Simba na post zako za kijinga kumbuka wewe upo kwenye chombo cha habari na klabu yetu inaiheshimu sana Clouds na mabosi wake Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga na tunajua unajikomba kwa Yanga baada ya kutaka kukipiga kwenye issue ya Akilimali.

Jipime bro, vinginevyo utavunja heshima yako na ya Clouds Media pia, ila ukiona vipi endelea ila jua Simba SC ni Klabu kubwa sana".

Ameandika mkuu wa habari wa Simba, Haji Manara
 
Hapana.. Tutengeneze nidhamu ndani ya Simba SC, hayo mengine yatakaa sawa tu Manara

Wachezaji wajue thamani ya kuvaa jezi ya Simba SC, wajitume waache uzembe bhana.
 
02290b8a3d17d2351b6f8973c6402e09.jpg
9c92340ec4c175916a8246f41a7c87b8.jpg
Tunajua wewe una ugomvi wako binafsi na baadhi ya viongozi wa Simba, lakini usitafute ugomvi na wanasimba wote.

Sisi kufungwa sio wa kwanza na hatutakuwa wa mwisho, unatumia muda mrefu kuittack Simba na post zako za kijinga kumbuka wewe upo kwenye chombo cha habari na klabu yetu inaiheshimu sana Clouds na mabosi wake Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga na tunajua unajikomba kwa Yanga baada ya kutaka kukipiga kwenye issue ya Akilimali.

Jipime bro, vinginevyo utavunja heshima yako na ya Clouds Media pia, ila ukiona vipi endelea ila jua Simba SC ni Klabu kubwa sana.
Clouds inahusikaje hapa
 
Manara atulie yeye si anajifanya anajua kuropoka sana na vipost vyake vya kimajungumajungu.....Au ndio mkuki kwa nguruwe?

Mbumbumbu na kikosi cha bil 1. 3 inafungwa na timu ya daraja la pili......!!!!
 
Maneno ya shaffih
Kaka usinitumie mimi kama kichaka cha kujifichia, last time Simba ilifungwa na [HASHTAG]#GreenWarriors[/HASHTAG] ulijificha kwa [HASHTAG]#Omog[/HASHTAG] akatimuliwa. Sasa hivi hauna mahala pa kujiicha...ilibidi wakati huu unaozungumza uwe umeachia nafasi yako kwa sababu umekuwa ukiwadanganya wana Simba kwa kuwapa matumaini hewa. [HASHTAG]#ManaraOut[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom