balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Hivi kashfa ya Haki Manara alipokuwa katibu wa CCm Dar,iliishia wapi? Jamaa alikuwa naomba magari kwa matajiri kwamba yanaenda kufanya kazi za chama kumbe yeye anayakodisha anakula pesa.Aliposhtukiwa akajiuzulu.Hapo Msimbazi vipi hapigi deal kwenye usajiri?hivi kesi ya RUSHWA dhidi ya SHAFII DAUDA aliyokumbana nayokumbana nayo kule Mwanza wakati wa maandalizi ya uchaguzi mkuu wa TFF Iliishia wapi?

Kighoma ile mkuuMzaramo yule
Huenda gentamycin ndiye Haji manara,, aya mambo ya fake ID huwezi jua.Haji manara hana tofauti na gentamycin muda wote wanataka kusifiwa tu
inawezekana kabisa mkuu,nadhani atakuwa mtu mmojaHuenda gentamycin ndiye Haji manara,, aya mambo ya fake ID huwezi jua.
hahahahaahaMsemaji wa Simba anautwika mtindi.
Hapana jamani, familia ya Manara sio Wazaramo. Hatukujua hivyo zamani.Mzaramo yule
Kwani mpaka hujue toka zamani ndipo huaminiHapana jamani, familia ya Manara sio Wazaramo. Hatukujua hivyo zamani.
kabisa, Haji badala ya kudeal na nidhamu ya wachezaji wake anadeal na Shafii, angalia timu inarud kutoka Zenj badala wachezaj waondoke na basi kwa pamoja wengine wanapanda boda bonda kila mtu kivyake, ni dhalau hiyo, ni sawa na timu ya taifa siku ile wanatoka kenya wanshuka airport TFF imeandaa basi waende wafikie hotel ndo kambi ivunjwe,lakini wachezaji wakaondoka kila mtu kivyake, hii ni nidhamu mbaya kabisa ya wachezaji wa Tanzania ,Clouds inahusikaje hapa
Haji arekebishe kwanza nidhamu ya wachezaji simba ndo alalame kuhusu shafii, timu inazidi kuyumbam hivi ikikosa kuchukua ndoo ya VPL wanasimba wataweka wapi nyuso zao mbele ya uma.Shafii mtu wa hovyoo sana anajidai anajua kuchambua mpira wkt janja janja tu sasa kumshambulia msemaji wa timu eti alijificha kivuli cha OMOG mara sijui awaambie wana simba ukweli ,mara manara OUT ...sasa timu ikifungwa alaumiwe haji msemaji wa timu?au walaumiwe wachezaji,kocha na bench lake la ufundi ....? ?
Shafii hayo mambo yako pelekaga ndondo cup...hivi kesi yako ya rushwa uliyoitoa Mwanza iliishia wapi.
Cc.
ShafiiDauda
mshabiki wa simba yule kuna ile simba mbovu nafikiri ya 2000 au 2001 alicheza paleShaffii tunajua ni mnazi wa Yanga, akiamua kuiponda, anakandamiza kwelii. Manara yupo sahihi