Mkuu huo ni uzushi ambao ulianzishwa kabla ya mechi na Ahly .Hakuna ukweli wowote na De La Boss yupo Arusha na leo amefanya kazi nzuri ya uhamasishaji kwani uwanja ulifurika mpaka ikabidi wasitishe uuzaji wa tiketi.Leo asubuhi nimeona kwenye Youtube eti Haji Manara ametofautiana na mabosi wake na ajira yake ipo mbioni kuota nyasi. Wafuatiliaji hili lina ukweli? . Binafsi nimesikitika sana. Tutampata wapi kama Manara wana Simba kama ni kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kunijuza mkuu. Simba Nguvu mojaMkuu huo ni uzushi ambao ulianzishwa kabla ya mechi na Ahly .Hakuna ukweli wowote na De La Boss yupo Arusha na leo amefanya kazi nzuri ya uhamasishaji kwani uwanja ulifurika mpaka ikabidi wasitishe uuzaji wa tiketi.
Matokeo Simba 3 African Lyon 0.
Sio kweli wauza habari haoLeo asubuhi nimeona kwenye Youtube eti Haji Manara ametofautiana na mabosi wake na ajira yake ipo mbioni kuota nyasi. Wafuatiliaji hili lina ukweli? . Binafsi nimesikitika sana. Tutampata wapi kama Manara wana Simba kama ni kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tujuze Jerry kayamwaga yepi kuhusu Dismas?Nilichosikia kwa Jery kuhusu msemaji wa Yanga ni ukweli mchungu. Dismas abadilike
Kamchana sana,kwamba alitegemea kiatu chake kitambana,ajabu kimepwaya sana,amepoza,hatoi hamasa,hata mashabiki hawajui msemaji wao naniTujuze Jerry kayamwaga yepi kuhusu Dismas?
Naliona tatizo sana katika club zetu.....Kamchana sana,kwamba alitegemea kiatu chake kitambana,ajabu kimepwaya sana,amepoza,hatoi hamasa,hata mashabiki hawajui msemaji wao nani
Jamaa kaongea fact,kiukweli uafisa habari kwa hizi timu kongwe unakwenda mbali zaidi mpaka kuwa mhamasishaji.Kamchana sana,kwamba alitegemea kiatu chake kitambana,ajabu kimepwaya sana,amepoza,hatoi hamasa,hata mashabiki hawajui msemaji wao nani
Hatuwezi fanana kila kitu na Ulaya. Ndio maana hii ikawa Africa na kule ikawa Ulaya. Wewe uwepo wa Manala unakupa shida gani?Naliona tatizo sana katika club zetu.....
Tunawapa kazi za usemaji wa timu watu wasio na taaluma zaidi unakuta ni wapiga majungu, umbea, matusi, kejeli na ujinga mtupu....
Msemaji wa timu hapaswi kuwa, muhamasishaji, kazi za kuhamasiha hizo ji za mashabiki au wanachama...
Msemaji unapaswa kutoa taarifa za timu tena zile za kiutawala na sio kiufundi....
Ndio maa a Wenzetu huko ulaya, msemaji mkubwa wa timu ni Kocha. Kabla na baada ya mchezo Kocha ndie hutoa taarifa kuhusu wachezaji wake na mchezo utakavyochezwa au ulivyochezwaa....
Umewahi sikia wasemaji wa timu kama hawa kina Manara na Jerry Muro???
Mimi naona sio wasemaji bali Wana propaganda tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Western education imekutoa kabisa na unashindwa kutofautisha ulaya na Africa, ulaya wana media ambazo zinazungumzia michezo muda wote yaani kazi yao ni sports tu sasa huku vyombo vilivyopo huku hivyo hivyo vizungumze habari,michezo,biashara,muziki na bado kuna wale walokole hawajalipia uoneshwe mahubiri waache tu wakina manara wapige porojo ili watu wahamasike tuNaliona tatizo sana katika club zetu.....
Tunawapa kazi za usemaji wa timu watu wasio na taaluma zaidi unakuta ni wapiga majungu, umbea, matusi, kejeli na ujinga mtupu....
Msemaji wa timu hapaswi kuwa, muhamasishaji, kazi za kuhamasiha hizo ji za mashabiki au wanachama...
Msemaji unapaswa kutoa taarifa za timu tena zile za kiutawala na sio kiufundi....
Ndio maa a Wenzetu huko ulaya, msemaji mkubwa wa timu ni Kocha. Kabla na baada ya mchezo Kocha ndie hutoa taarifa kuhusu wachezaji wake na mchezo utakavyochezwa au ulivyochezwaa....
Umewahi sikia wasemaji wa timu kama hawa kina Manara na Jerry Muro???
Mimi naona sio wasemaji bali Wana propaganda tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muro ajielewi,huyo manara mnaosema ni muhamasishaji watu wanajaza uwanja kwa ajili yake!washabiki wa cmba wameanza kujaza uwanja hv karibuni tu,mbona kipindi ambacho mo akuwepo manara alikua hana uwezo wa kuhamasisha watu kujaza uwanja,ilifikia kipindi hadi hans pope alilisemea khs wapenzi wa simba kutokwenda uwanjani,kwa hali iliyopo Yanga kwa sasa hata jerry angekuwepo asingeweza kuhamasisha hadi kufikia kipindi cha manji watu wakawa na muhamko na timu yao,mnasifia manara mhamasishaji kama kaja juzi cmba kumbe ana zaidi ya miaka 4 na huko nyuma akuweza kua na ushawishi wwt,Tanzania hakuna wale loyalty fans wa mpira,wengi wao wanaenda na matokeo na uwekezaji wa timu uwanjaniKamchana sana,kwamba alitegemea kiatu chake kitambana,ajabu kimepwaya sana,amepoza,hatoi hamasa,hata mashabiki hawajui msemaji wao nani
Andika vizuri kakaMuro ajielewi,huyo manara mnaosema ni muhamasishaji watu wanajaza uwanja kwa ajili yake!washabiki wa cmba wameanza kujaza uwanja hv karibuni tu,mbona kipindi ambacho mo akuwepo manara alikua hana uwezo wa kuhamasisha watu kujaza uwanja,ilifikia kipindi hadi hans pope alilisemea khs wapenzi wa simba kutokwenda uwanjani,kwa hali iliyopo Yanga kwa sasa hata jerry angekuwepo asingeweza kuhamasisha hadi kufikia kipindi cha manji watu wakawa na muhamko na timu yao,mnasifia manara mhamasishaji kama kaja juzi cmba kumbe ana zaidi ya miaka 4 na huko nyuma akuweza kua na ushawishi wwt,Tanzania hakuna wale loyalty fans wa mpira,wengi wao wanaenda na matokeo na uwekezaji wa timu uwanjani
Hope umenielewaAndika vizuri kaka