Naliona tatizo sana katika club zetu.....
Tunawapa kazi za usemaji wa timu watu wasio na taaluma zaidi unakuta ni wapiga majungu, umbea, matusi, kejeli na ujinga mtupu....
Msemaji wa timu hapaswi kuwa, muhamasishaji, kazi za kuhamasiha hizo ji za mashabiki au wanachama...
Msemaji unapaswa kutoa taarifa za timu tena zile za kiutawala na sio kiufundi....
Ndio maa a Wenzetu huko ulaya, msemaji mkubwa wa timu ni Kocha. Kabla na baada ya mchezo Kocha ndie hutoa taarifa kuhusu wachezaji wake na mchezo utakavyochezwa au ulivyochezwaa....
Umewahi sikia wasemaji wa timu kama hawa kina Manara na Jerry Muro???
Mimi naona sio wasemaji bali Wana propaganda tu.
Sent using
Jamii Forums mobile app