Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Sasa alitaka awe anaropoka ropoka kama yeye? Sidhani kama shabiki wa Simba mwenye akili timamu atakuwa anafurahia uropokaji wa HajiKamchana sana,kwamba alitegemea kiatu chake kitambana,ajabu kimepwaya sana,amepoza,hatoi hamasa,hata mashabiki hawajui msemaji wao nani
Rudia kusoma kote. Wacha kutumia quote isiyoleta maana, out of context. Aliyesema maneno haya ni Jerry Muro sio Manara.Sasa alitaka awe anaropoka ropoka kama yeye? Sidhani kama shabiki wa Simba mwenye akili timamu atakuwa anafurahia uropokaji wa Haji
Vichannel uchwara Vingi sana siku hizi mkuu na vinasaka attention vibaya mno..Leo asubuhi nimeona kwenye Youtube eti Haji Manara ametofautiana na mabosi wake na ajira yake ipo mbioni kuota nyasi. Wafuatiliaji hili lina ukweli? . Binafsi nimesikitika sana. Tutampata wapi kama Manara wana Simba kama ni kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa alitaka awe anaropoka ropoka kama yeye? Sidhani kama shabiki wa Simba mwenye akili timamu atakuwa anafurahia uropokaji wa Haji
Tujuze Jerry kayamwaga yepi kuhusu Dismas?
Hahaa,jamaa kauaKasema Yanga inavyokwenda sivyo, inawaleta akina Ngasa, Boban wa nini?
Ngasa atafute kazi ya kufanya, Boban akili imechoka
Alipoambiwa kuwa Boban ni pendekezo la Kocha Zahera, ajibu kuwa Kocha hajui wachezaji yule si kocha ni muhamasishaji...hiyo ni kwa ufupi mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
YAAN HUYO FALA KAFUNGWA NA KAPEWA NA JEZI JUU?ππππMkuu wa kitengo cha habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara amemvisha jezi ya Simba, mkuu wa wilaya ya Arumeru ambaye shabiki wa Yanga na aliwahi kuwa Msemaji kunako timu hiyo Jerry Muro, katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha.
Hiyo ilikuwa katika Shamrashara kuelekea kuanza kwa mchezo wa ligi kuu Tanzania kati ya African Lyon na Simba.
Haji manara amefanya hivyo baada ya ahadi waliyowekeana kwamba nani atamfunga mwenzake kwenye mchezo wa watani wa Jadi, Yanga SC dhidi ya Simba SC ambapo Simba waliibuka kwa ushindi wa bao 1-0 kwa bao la Meddie Kagere MK 14 .View attachment 1026503View attachment 1026506
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo unazosema ni specifications za Ulaya, kwa Afrika(Tanzania) tunazo specs zetu tunazofuataNaliona tatizo sana katika club zetu.....
Tunawapa kazi za usemaji wa timu watu wasio na taaluma zaidi unakuta ni wapiga majungu, umbea, matusi, kejeli na ujinga mtupu....
Msemaji wa timu hapaswi kuwa, muhamasishaji, kazi za kuhamasiha hizo ji za mashabiki au wanachama...
Msemaji unapaswa kutoa taarifa za timu tena zile za kiutawala na sio kiufundi....
Ndio maa a Wenzetu huko ulaya, msemaji mkubwa wa timu ni Kocha. Kabla na baada ya mchezo Kocha ndie hutoa taarifa kuhusu wachezaji wake na mchezo utakavyochezwa au ulivyochezwaa....
Umewahi sikia wasemaji wa timu kama hawa kina Manara na Jerry Muro???
Mimi naona sio wasemaji bali Wana propaganda tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naliona tatizo sana katika club zetu.....

???????Jamaa kaongea fact,kiukweli uafisa habari kwa hizi timu kongwe unakwenda mbali zaidi mpaka kuwa mhamasishaji.
Tatizo la Dismas ni kutaka kufuata protokali kuliko uhalisia wa timu zetu.