haji manara ana akili timamu?

haji manara ana akili timamu?

unajua manara kaajiriwa simba kwa kazi gani?jerry muro alivyokuwa msemaji wa yanga alikuwa hakukeri?kweli nimeamini akijisaidia kuku kajisaidia ila akijisaidia bata kaendesha
 
unajua manara kaajiriwa simba kwa kazi gani?jerry muro alivyokuwa msemaji wa yanga alikuwa hakukeri?kweli nimeamini akijisaidia kuku kajisaidia ila akijisaidia bata kaendesha
Ndio sababu Muro alitimuliwa kwa ujinga kama wa manara!. Toka ameanza kunengua na kubeba TV press kaipa Simba mafanikio gani?.
Hebu tuache utani tumsaidie Manara ule ni usenge,ushamba na ujinga wa kiwango cha reli ya mkuru. Jamani wapi na lini PR officer akakata mauno vile utadhan madada wa vigodoro?
Tuweke ushabiki pembeni tumwambie aige kwa ustaarabu mbona zipo timu 16 msemaji gani alizunguka kukata mauno vile. Ok bongo washamba;huko mbele PR officer gan anafanya ya manara? Acheni bwana
 
unajua manara kaajiriwa simba kwa kazi gani?jerry muro alivyokuwa msemaji wa yanga alikuwa hakukeri?kweli nimeamini akijisaidia kuku kajisaidia ila akijisaidia bata kaendesha
Ya kukata Mauno Taifa!.
 
huwa simwelewi huyu msemaji wa simba? kitendo alichokifanya juzi pale uanjani ni cha hatari sana sana sana? sijui kama anajua.
haji manara hata Manchester united na timu kubwa zote zina watu wa PR lakini mbona hatuwaoni wakinengua uwanjani? tanzania sio kijiji badilika kaka. unatia aibu wewe hujui tu.
umekuwa ukiongea maneno yenhe kusambaza chuki huku ukijidai at huo ni utani.

Wewe unaona zimetimia yule kichwani?

Manara maneno yake tu unaona kuna nati haipo sawa kichwani.
 
Back
Top Bottom