Mungu akusamehe na kukuponya..looh like seriously kisa mipira ndio udharau utu wa mwenzio!???Duuu ka1 ka ngurue bado kanakuumiza kichwa
Ndio sababu Muro alitimuliwa kwa ujinga kama wa manara!. Toka ameanza kunengua na kubeba TV press kaipa Simba mafanikio gani?.unajua manara kaajiriwa simba kwa kazi gani?jerry muro alivyokuwa msemaji wa yanga alikuwa hakukeri?kweli nimeamini akijisaidia kuku kajisaidia ila akijisaidia bata kaendesha
Ya kukata Mauno Taifa!.unajua manara kaajiriwa simba kwa kazi gani?jerry muro alivyokuwa msemaji wa yanga alikuwa hakukeri?kweli nimeamini akijisaidia kuku kajisaidia ila akijisaidia bata kaendesha
huwa simwelewi huyu msemaji wa simba? kitendo alichokifanya juzi pale uanjani ni cha hatari sana sana sana? sijui kama anajua.
haji manara hata Manchester united na timu kubwa zote zina watu wa PR lakini mbona hatuwaoni wakinengua uwanjani? tanzania sio kijiji badilika kaka. unatia aibu wewe hujui tu.
umekuwa ukiongea maneno yenhe kusambaza chuki huku ukijidai at huo ni utani.
Ha haaa.............Duuu ka1 ka ngurue bado kanakuumiza kichwa