Haji Manara Analazimisha Simba vs Yanga iwe mechi kubwa

Rambo man

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
243
Reaction score
364
Simba na mashabiki wa Simba washatoka kwenye kupiga kelele na Yanga na Simba kuona wapinzani wao kama Al ahaly, Kaizer, pirates etc.

Haji manara analazimisha kuwachokaza simba, eti anasema morali ya simba imeshuka wanaweza kususa kuja uwanjani. Kwa kifupi hii wiki watu wanaongelea mechi ya simba na pirates
 
Mie huwa nachukia sana mnapohangaika na ule msukule
 
Hao unao sema ni wenzako wana makombe ya Africa wewe unalo?
 
sasa bila kuchukua ubingwa wa nyumbani, huko kwa al ahly utachezaje nae?
 
Wewe na huyo Haji wote akili zenu zinafana.
 
Unateseka na harakati za Yanga plus kufungwa na Orlando utakufa Sasa hv.

Yanga wanatafuta morali kutoka kwa Mashabiki ili wawapasue hapohapo kwenye mshono.

April 30 lazima mkalie tena.. kama unabisha Leta kolo wako hyo siku uone kazi
hahaha simba washatoka huku. hata mkitufunga haina shida. sisi bado tuna machungu kutolewa CAF.
 
Lazima alazimishe iwe mechi kubwa kwasababu wana Utopolo wote wanaamini na wanajua Simba ni timu kubwa, timu inayolitambulisha taifa la Tanzania ulimwenguni, wanajua Simba ndio timu kubwa kwao kwakuwa Simba imecheza na mataifa hatarishi ktk tasnia ya soka barani Afrika. Mleta uzi hii ni mechi kubwa mno kwa Utopolo kama hukua unajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…