Haji Manara Analazimisha Simba vs Yanga iwe mechi kubwa

mmechukua kombe lipi?
 
Haji ni mhamasishaji yupo kazini, hayo maneno yake hamjayazoea tu.
 
Unateseka na harakati za Yanga plus kufungwa na Orlando utakufa Sasa hv.

Yanga wanatafuta morali kutoka kwa Mashabiki ili wawapasue hapohapo kwenye mshono.

April 30 lazima mkalie tena.. kama unabisha Leta kolo wako hyo siku uone kazi
Mkuu 0.5 FC ( The return of champions) Ulishindwa Kufa wewe kwa kugongwa nyuma na mbele na Rivers utd kitimu cha mchongo , simba ndo wafe kwa kihoro cha kufungwa na orlando tena kwa mikwaju ya penalty tena hatua ya robofainali?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Huwa sipendi kuamini maneno kwamba kuna mashabiki Wana ufinyu wa mawazo. Lakini Leo nimeamini si tu ufinyu wa mawazo Bali hata mawazo yenyewe hawana. REAL MADRRID amechukua ubingwa wa UEFA mara nyingi kuliko timu yoyote Ulaya, ni lini umemsikia shabiki wa Real akidharau El Clasico? Utakuwa ni shabiki mpuuzi kusema Mechi ya Derby ya nchi yoyote ni Mechi ndogo.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Msukule alishajinasia ndege wake kwa gharama nafuu. Msiuingilie tafadhari mkaupeperushia ndege wake.
 
Naniiiii achana kabisa na Dabi yaani Simba na Yanga hata kama siku wa kigombania kuku jua kabisa hiyo mechi kubwa, hivi ushajiuliza kipindi kile Dalali na Kaduguda kitu kilicho kuwa kinawafanya wabaki madarakani ni kuifunga Yanga pamoja na Yanga kuchukua ubingwa mara 3 mfululizo.

Simba na Yanga inaweza kuamua hatma ya mkataba mpya kwa mchezaji na hatima ya kiongozi.
 
Washa jua kitakacho wapata hizo ni mbinu za kujihami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…