Haji Manara Analazimisha Simba vs Yanga iwe mechi kubwa

Unateseka na harakati za Yanga plus kufungwa na Orlando utakufa Sasa hv.

Yanga wanatafuta morali kutoka kwa Mashabiki ili wawapasue hapohapo kwenye mshono.

April 30 lazima mkalie tena.. kama unabisha Leta kolo wako hyo siku uone kazi
umepovukwa kweli
mkauze jezi zenu za msimu uliopita kwa mafungu sasa

 
Mie huwa nachukia sana mnapohangaika na ule msukule
Tena msukuke zeluzelu. Yani wenyewe ni simba tuuuu,badala ajikite kwenye timu yake na timu zingine yeye ni kuiwaza simba.Anatafuta kuendelea kuwa maarufu kwa mgongo wa simba
 
hata ukilima bamia unapata pesa....Sisi tunataka ubingwa😀😀
sawa sisi ubingwa tumeuchoka kwa miaka 4 mfululizo tumechukua sisi
hatutaki ligi yetu iwe farmers league tunataka ushindani wa kupokezana kijiti kama epl
 
umebakia utani tu si upinzani
 
Kwani ndo mara ya kwanza, utatolewa kila ukishiriki maana huna uwezo
sisi tunashindana ba wakubwa wenzetu. nenda page ya twitter ya simba. watu kutoka nchi mbali mbali wameifollow, uto page yao ni watz tu
 
zamani hiyo si sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…