Haji Manara Analazimisha Simba vs Yanga iwe mechi kubwa

Kwani ni lini hiyo mechi ilikuwa ndogo?
 
yanga kabaki mtani tu. wapinzani wasimba wapo misri, SA, Ivory coast.
Hao mnaowaita wapinzani wenu wanawajua kwa uchawi tu na hawajawahi kuwaona ni wapinzan wao kwakuwa hamjawahi kwenda kucheza nusu fainali na nyinyi.
 
Huyu dogo kawa kero sasa, anashindana na Harmonize kutafuta kick za kijinga....tumechoka jamani, tuwekeeni habari za maana.
 
sisi tunashindana ba wakubwa wenzetu. nenda page ya twitter ya simba. watu kutoka nchi mbali mbali wameifollow, uto page yao ni watz tu
Wakubwa wenzenu hawana mambo ya kishirikina mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…