Haji Manara anapata wapi pesa za kuchezea?

Hii comment yako inathibitisha kua una chuki na Haji,Ualbino hakujiumba bali kaumbwa na Mungu,kama wewe upo sawa basi usiwakejeli wengine,hujafa hujaumbika,maisha ni safari.
Toka uko wacha kumleta mungu hapa nimesema fursa gani ya kuwa albino na Kisha kutumia ualibino kuomba omba
 
Mkuu kama kwa Tanzania tu unaweza kutambulika na watu takribani million 20,

Huu ni mtaji mkubwa sana, tena ukiwa na umaarufu kama haji, mitandaoni kuna
Subscribers, followers n. k.

Kutengeneza milioni mia mbili kwa siku kadhaa tu ni ishu easy.

Halafu pia jamaa ni jitu linapenda kuhurumiwa sana kutokana na rangi yake, na kwa mantiki hii watu wanajikuta wamempa ubalozi na mishe kibao hapa town.
 
Mimi naona akiweza hata kila weekend awe anafanya japo event Moja inayohusisha matumizi ya pesa kuongeza mzunguko . Watu watapata uhakika wa kipato.
Kakasome Monetary Economy... Haitomsumbua ... Hata akisoma Environmental Economics and Natural resources (Kwa kipengele Cha urithi ) ... Hata nchi inarithisha vizazi Kwa vizazi maliasili na mazingira.... Machukizo ni kuuachwa bila urithi na unaona jirani anatoboa...niliumia sana .. ila Kwa Sasa vizazi vyangu viwili vitaishi sijui hao watawaachiaje vizazi vyao .... Amini nakwambia chuki kubwa ni UMASKINI WETU...TUNACHUKIA WALIOFANIKIWA BILA SABABU YEYOTE...
 
Sasa kafanikiwa nin yule boya na wee kuoa ao na kuacha ndio kafanikiwa

Kuomba michango kwa matajiti Kisha kuoa na kufanya birthday Kila mwaka ndoo maafnikio

Mtu kuwa mwzi na mkwepa kodi ndio kafanikiwa
 
Tuliambiwa humu na mdau kwamba hayo mambo ya kuoa na kuacha kwa Manara ni sehemu ya Biashara zinazompatia pesa
 
Wee. Ni shoga siku zote unafahamika Hapa

Hunitishi

Kam udr wangu unakuuma kasomee na wee Kama una vigezo shenzi kbsa shogaa mkubwa
Shoga ni wewe unaechapiwa demu,wewe ni punguani na akili huna.

 
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…