Haji Manara anapata wapi pesa za kuchezea?

Ukiwa katika Hali ya kukosa unajikuta unachukia tuu kuisikia habar za flan kajenga au ana gari au amepata kazi


Hii utokea sababu kubwa kukosa
 
Kipindi kile alidai analipwa jiwe 7 si ndio [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
acha ujinga wewe, kama manara anafanya kufuru asiambiwe? Siku akiugua tusisikie anaombaomba mchango akatibiwe
Kama hadi ruge aliomba.. Prof J aliomba msaada so kesho hatuijui ishi leo yako vizuri uwezavyooo. Acha manara ajiliee vyakee
 
Hapo anapofanya ni anasa, mkiambiwa anasa ni dhambi muwe mnaelewa, sio mnatoa majibu ya karaha kusema tukatafute hela, wengine hatutafuti hela, hela zenyewe zinatutafua na kutupata kisha kuingia kwenye mifuko yetu. Why utafute hela? Hiyo ni shida, hela ndiyo inatakiwa ikutafute na ikupate
 
Nilivyoliona mimi tukio zima ni biashara ile.

Haji pale anatengeneza pesa ndefu.

Kwa wenye kuekewa tu show business ni nini.
 
Angetulia ccm angekua mbali, hivi pamoja na mbwembwe zote amekumbuka kujenga kweli manake apartment analipiwa na GSM gari alinunuliwa na GSM na anapenda kuwa karibu sana na waarabu, si watu wazuri hawana vya ewala ewala.
 
"Tanga muweza" jina sahihi ni Tanga Muheza.
 
Wazazi pia hupata zawadi hivyo hawawezi kumkataza lakini pia kijsna ni kopi ya baba yake kama ulikuwa haulijui hilo.
 
Tafuta hela mkuu.

Muache kijana ale mema ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…