Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Ukiwa katika Hali ya kukosa unajikuta unachukia tuu kuisikia habar za flan kajenga au ana gari au amepata kaziKakasome Monetary Economy... Haitomsumbua ... Hata akisoma Environmental Economics and Natural resources (Kwa kipengele Cha urithi ) ... Hata nchi inarithisha vizazi Kwa vizazi maliasili na mazingira.... Machukizo ni kuuachwa bila urithi na unaona jirani anatoboa...niliumia sana .. ila Kwa Sasa vizazi vyangu viwili vitaishi sijui hao watawaachiaje vizazi vyao .... Amini nakwambia chuki kubwa ni UMASKINI WETU...TUNACHUKIA WALIOFANIKIWA BILA SABABU YEYOTE...
Hii utokea sababu kubwa kukosa