Haji Manara anapata wapi pesa za kuchezea?

Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday nw Kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza

Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live

Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night ? Alfi baadae mwezi miwili unachwa na kuanza kulalaimikia wanawake

HV wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa SASa mwanangu cheupe tumechoka na.ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho

Huwenda manara Ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mamb Kama haya

Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa ,sawa pesa natafuta San ila siyo kutanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo

View attachment 2875792
I wish I could be a president hakika Kuna watu wangeteseka mno
 
Hayo matukio yote Yana wadhamini , yeye anapata Hela kupitia hayo matukio, yupo kazini, hapo anawatangaza DSTV, Asas, tigo, Azam group, platinum,
 
Hapo Manara ndie amelipwa.

Hizo ni live Content hizo media huwa zinanunua.

Dstv hapo ndio wanamlipa manara.

Manara atoe wapi hela ya kukodi super dome masaki. Na hapo hapo mapambo na heka heka zote, na kisha tena awalipe Dstv ?
 
Hakuna kitu huyu anatumia pesa chafuu kuishi
Pesa chafu na wewe si utumie uishi, muda si mrefu mtaanza na Mawazo ya Kimasikini, kwamba Haji Freemason mara Iluminati, Ujinga Mtupu...!

Kwa taarifa yako Shughuri hiyo itarushwa live na DSTV, na wametangaza Channel itayoonyesha hilo tukio, Wapenzi wa Haji watalipia 10,000 kutizama hilo tukio...!

Hata kama hujui kinachoendelea Duniani, unashindwaje kujua kuwa Haji amelipwa na DSTV...!?
 
Acha uongo wee manara ndio amelipa ili liwe live
 
Anafanya biashara ya kuoa na kuacha ili akusanye michango , hiyo michango ndo faida yake kwahiyo hawezi kuacha tabia ya kuoaoa hovyo
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] weewe kidg una hoja

Ni was jmaa anao Kish kuacha Kila mwaka achangiwe aoe Tena na kutunzwa Kisha kuishi
 
Kwahyo hujui jna aliojiwa na clous na kusema kuwa yeye amelipia tukio Hilo live DStv milion 50 iki mradi ajenge na asihribu brand yake kubwa

Ukisikiliza wasanii na ukaamini kila wanachosema utapotea.

Hao kazi yao ni sanaa...wanapenda kusema kitu ambacho mashabiki wao wanapenda kusikia.. kupata attention
 
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] weewe kidg una hoja

Ni was jmaa anao Kish kuacha Kila mwaka achangiwe aoe Tena na kutunzwa Kisha kuishi
Mbona inajulikana hiyo na kama wewe ni tajiri na unataka jamaa akukasirikie basi aandae birthday party ya mtoto, yake au ndoa ya mchongo alafu usichangie chochote atakupiga majungu kishenzi, ila hata matajiri wa sasa wameanza kumshtukia asipobadili mbinu hatapata mkwanja mrefu kama aliokua anapewa zamani
 
Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday nw Kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza

Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live

Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night ? Alfi baadae mwezi miwili unachwa na kuanza kulalaimikia wanawake

HV wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa SASa mwanangu cheupe tumechoka na.ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho

Huwenda manara Ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mamb Kama haya

Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa ,sawa pesa natafuta San ila siyo kutanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo

View attachment 2875792
Ni suala la muda usiwaze
 
Mbona inajulikana hiyo na kama wewe ni tajiri na unataka jamaa akukasirikie basi aandae birthday party ya mtoto, yake au ndoa ya mchongo alafu usichangie chochote atakupiga majungu kishenzi, ila hata matajiri wa sasa wameanza kumshtukia asipobadili mbinu hatapata mkwanja mrefu kama aliokua anapewa zamani
Madon wa town wanamuona mjinga alfu hazomeki huwez kuta kina gsm wamekuja kuuza sura leo
 
Back
Top Bottom