Haji Manara anapata wapi pesa za kuchezea?

Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday na kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza

Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live

Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night? Halafu baadae miezi miwili unachwa na kuanza kulalamikia wanawake.

Hivi wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa sasa mwanangu cheupe tumechoka na ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho.

Huenda Manara ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mambo Kama haya

Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa, sawa pesa natafuta sana ila siyo kufanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo

View attachment 2875792
Madawa ya kulevya.
 
Ukiwa huna pesa, ukiona mtu anatumia pesa zake unaona kama anachezea.
 
Majibu....

1. Mikataba mikubwa Minne aliyonayo na Makampuni na kuwa Chawa Gegedu ( Msifiaji Mkubwa ) wa Watu Matajiri Mitandaoni.

2. Uwingi wa Followers wake katika Mitandao yake Facebook na Instagram kuna Malipo fulani ya kutosha anatarajia

3. Urafiki wake mkubwa na Drug Barons ( Wafanyabishara wakubwa wa Dawa za Kulevya nchini ) nako Kunamnufaisha. Hapa sitaki Swali tafadhali.

4. Mafisadi wakubwa kutoka Serikalini kumtumia Yeye kama Maficho ya Fedha zao ili aonekane ni Tajiri, azidi kuwa Maarufu huku wakiwa na uhakika kuwa Fedha zao ziko Salama japo yeye hupewa Asante ya 15% ya Utunzaji wa hizo Fedha za Kifisadi.

5. Kukuwadia Viongozi ( Wanasiasa ) na Matajiri wakubwa nchini na nje ya nchi Wanawake Warembo kisha yeye kupata 20% Commission ( na tabia hii kuna Naibu Waziri wa Wizara moja yenye Umuhimu wa Kihisia kwa Watanzania nae alikuwa akiifanya sana tu kwa Awamu ya 2005-2015 ) hapa sitaki Swali tafadhali.

6. Kuwa na Ukaribu wa Kiutamaduni wa Watu wa Pemba, Mombasa, Lamu, Ugiriki, Italy na Uarabuni na Ndugu ( Kaka ) wa Tajiri Jengo refu Posta aishiye nchini Dubai ( UAE ) ambaye nae ni Tajiri mara Mbili ya huyu Mdogo wake wa Dar es Salaam Tanzania. Hapa sitaki Swali tafadhali.

7. Investments zake kadhaa katika Media, Fashion Designs na Automobiles.
 
Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday na kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza

Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live

Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night? Halafu baadae miezi miwili unachwa na kuanza kulalamikia wanawake.
Halafu nilimsikia Sheik akilaani hizo sherehe akisema ni haram

1721474056667.png
 
Back
Top Bottom