Hizi Kamati zinatakiwa ni External Committee Ili Ziwe Free kwenye Decision Zao.Hawa TFF hawajielewi, wakiwa na kigugumizi cha aina hii kwenye hukumu zao ndio inasababisha watu wawadharau, sioni sababu ya kupunguza adhabu, hiyo maana yake wamethibitisha wanaotoa adhabu huwa wanakurupuka, na hii itawafanya walalamikiwe zaidi mbele ya safari kwenye hukumu zao.
Yes Adhabu Zao haziko executed Kwa Sababu Wao Sio Judicial boardHiyo pesa sio lazima Manara alipe, na hakuna watakachomfanya sababu hiyo kama ya TFF sio mahakama ya kiserikali...
Kutojihisisha na mchezo wa mpira wa miguu hakuwezi mfanya mtu ashindwe kuishi...
Hawana la Kumfanya Wao Wana mamlaka kufungi TuNauliza tu..asipo zilipa watamfanya nini
Umekuwa msemaji wa msemaji ManaraHiyo pesa sio lazima Manara alipe, ... Kutojihisisha na mchezo wa mpira wa miguu hakuwezi mfanya mtu ashindwe kuishi.
Bwanake hesi yupoManara anakosa kazi kwa miaka miwili halafu wao wanataka walipwe hizo pesa atatoa wapi ? Huyu alshabab tumbotumbo hanaga akili kabisa
Sent from my CPH1823 using JamiiForums mobile app
Komeo la maisha labda uje uomgozi mwingine utengueNauliza tu..asipo zilipa watamfanya nini
Mwambieni asilipeNauliza tu..asipo zilipa watamfanya nini
Hawana cha kumfanya bila shaka! Na mbaya zaidi mwenzao anaendelea tu kula hela za ubalozi wa Bayport na makampuni mengine!Nauliza tu..asipo zilipa watamfanya nini
Mpira sio siasa CAF na FIFA faini zao na vifungo vyao ni vikubwa mno ,ulimwengu wa mpira unajitegemea kufungiwa maisha ni jambo la kawaida ,kama hautaki nenda CAS na ukuenda huko ni walewale tu.Manara anakosa kazi kwa miaka miwili halafu wao wanataka walipwe hizo pesa atatoa wapi ? Huyu alshabab tumbotumbo hanaga akili kabisa
Sent from my CPH1823 using JamiiForums mobile app
Umekuwa msemaji wa msemaji Manara