Haji Manara atakiwa kulipa Tsh. Milioni 10 ndani ya siku 30

Haji Manara atakiwa kulipa Tsh. Milioni 10 ndani ya siku 30

Ukweli ndio huo, TFF na kamati yake uwezo wa mamlaka yake umeishia hapo tu...
Hiyo pesa anaweza asilipe, na akaachana kabisa na ishu za soka...
na je kama anataka aendelee na shughuli za soka?
 
Ukweli ndio huo, TFF na kamati yake uwezo wa mamlaka yake umeishia hapo tu...

Hiyo pesa anaweza asilipe, na akaachana kabisa na ishu za soka...
Waziri wa Michezo akihamua kutoa misamaha anaweza akawasamehe
 
Anazo sasa kelele nyingi lakini kumbe mfukoni hamna kitu mpaka gari anatumia ya hersi.
 
Ukweli ndio huo, TFF na kamati yake uwezo wa mamlaka yake umeishia hapo tu...

Hiyo pesa anaweza asilipe, na akaachana kabisa na ishu za soka...
Na ndicho tunachotaka aachane kabisa na ishu za soka akafanye hata kilimo huko au uchawa kama wenzie wakina Baba levo
 
Ni vizuri yule mjinga atie akili. Sasa utopolo a.k.a kinyesi mliokuwa mnamshabikia, mchangieni mjinga mwenzenu bukubuku
Hatuna hela ya bure.
Karia kama anashida ya hela aende kwa Alshabaab wenzake Somalia wakateke meli wapate Kikomboleo.
 
Hatuna hela ya bure.
Karia kama anashida ya hela aende kwa Alshabaab wenzake Somalia wakateke meli wapate Kikomboleo.
Labda wanahitaji kutoka kwake ndio maana anazitafuta awapelekee
 
Kamati ya Rufaa na Maadili ya Shirikisho la Soka nchini TFF chini ya Mwenyekiti wake Richard Mbaruku imempungizia adhabu Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara kutoka Tsh. Milioni 20 hadi Milioni 10.

Adhabu ya kifungo cha miaka miwili ya kutojihusisha na masuala ya Mpira ndani na nje ya nchi inaendelea.

Manara ameagizwa kulipa dola 4361.10 au Tsh. Milioni 10 ndani ya siku 30 kuanzia leo Septemba 14, 2022.
Okay
 
Back
Top Bottom