Haji Manara atamba,azindua kampeni ya YES WE CAN dhidi ya JS Saoura

Haji Manara atamba,azindua kampeni ya YES WE CAN dhidi ya JS Saoura

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_2019-01-04-16-21-13~2.png


Kwa sasa Haji Manara ni kama maji usipomuoga utamnywa.
Amesisitiza Simba sio mwakilishi wa Tanzania bali ni mwakilishi wa East Africa nzima hii yoooote
 
Huyo anataka ubunge, ninamna ya kujifanyia promo kwa mgongo wa Simba
 
Kampeni nzuri! Jamaa ni mhamasishaji mzuri.
 
Mwarabu lazima akae tu hakuna jinsi. Point tatu mapemaaa. Kombe la mapinduzi watusamee tu safari hii.
 
slogan ya Obama kwenye soka...Haji rudi kwenye siasa...
 
Back
Top Bottom