Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Unawezaje kuvumiliwa sehemu uliyowahi kuwatukana mnoo mnooo waktk upo upande wa pili...sehemu ulosema hawana akili...yani wenye akili clabuni hapo ni 2 tuuu...nani atakupenda huko???
halafu ataenda kula polisi? manake hana profession ingine zaidi ya kudanga kwenye izo timu.Akiwa kwenye tamasha la Wasafi jana pale Arusha, Haji Manara ameahidi siku si nyingi ataita Press kwa ajili ya kuwaaga watu wa mpira.
Amekaririwa akiongea laivu kuwa mpira umemtengezea sana uadui, hajui amewakosea nini washabiki wa mpira, anahofia usalama wa familia yake, anasema mpira uko damuni mwake lkn umevamiwa, anajua kuuelezea, kuuchambua, kuuandika, kuucheza na hata kuufundisha lkn kwa tathmini aliyoifanya anaona bora aendelee na maisha mengine.
Amesema ana kazi nyingi za kufanya za kumuingizia kipato ikiwemo Manara TV na kwamba mpira haujampa manufaa yoyote maishani mwake.
Amesema haitaji ukuu wa wilaya wala ukuu wa mkoa wala uwaziri kwa sababu hana uwezo wa kuhamasisha mifugo wala nn, ila in few next days ataitisha Press kuachana kabisa na mambo ya mpira.
Hamtanisikia tena kuongelea mambo ya Simba wala Yanga, nikiacha nimeacha kabisa, si mnanijua, ni kama ninapoachaga mke sirudii tena.
In my point of view, ukiona amefikia hapo jua huko aliko sasa ameshatibuana nao.
Kuhusu hilo hata mimi alikuwa anaropoka mpk adui anajua mbinu zako,mfano tutampiga kenge yoyote mbele yetu sasa si ni kauli za kuvunjana miguu hizi!Kaona nafasi imeshazibwa na Ally Kamwe na ni kama Yanga wamemsusa kimtindo, akimaliza mda ataanza kujikomba tena kwa simba trust me!
Alipokuwa msemaji wa Simba nilianzisha hadi threads humu kwamba huyu jamaa hafai kuwa msemaji wetu Simba,kila saa ni kutukana na kukejeli Yanga,kuzungumzia wapinzani ni 98% na kuzungumzia timu na malengo ya timu 2% ,alipoondoka nilifurahi sana
Mjinga kwani anamkomoa nani au anamtia hasara naniAkiwa kwenye tamasha la Wasafi jana pale Arusha, Haji Manara ameahidi siku si nyingi ataita Press kwa ajili ya kuwaaga watu wa mpira.
Amekaririwa akiongea laivu kuwa mpira umemtengezea sana uadui, hajui amewakosea nini washabiki wa mpira, anahofia usalama wa familia yake, anasema mpira uko damuni mwake lkn umevamiwa, anajua kuuelezea, kuuchambua, kuuandika, kuucheza na hata kuufundisha lkn kwa tathmini aliyoifanya anaona bora aendelee na maisha mengine.
Amesema ana kazi nyingi za kufanya za kumuingizia kipato ikiwemo Manara TV na kwamba mpira haujampa manufaa yoyote maishani mwake.
Amesema haitaji ukuu wa wilaya wala ukuu wa mkoa wala uwaziri kwa sababu hana uwezo wa kuhamasisha mifugo wala nn, ila in few next days ataitisha Press kuachana kabisa na mambo ya mpira.
Hamtanisikia tena kuongelea mambo ya Simba wala Yanga, nikiacha nimeacha kabisa, si mnanijua, ni kama ninapoachaga mke sirudii tena.
In my point of view, ukiona amefikia hapo jua huko aliko sasa ameshatibuana nao.
TumempuuzaAkiwa kwenye tamasha la Wasafi jana pale Arusha, Haji Manara ameahidi siku si nyingi ataita Press kwa ajili ya kuwaaga watu wa mpira.
Amekaririwa akiongea laivu kuwa mpira umemtengezea sana uadui, hajui amewakosea nini washabiki wa mpira, anahofia usalama wa familia yake, anasema mpira uko damuni mwake lkn umevamiwa, anajua kuuelezea, kuuchambua, kuuandika, kuucheza na hata kuufundisha lkn kwa tathmini aliyoifanya anaona bora aendelee na maisha mengine.
Amesema ana kazi nyingi za kufanya za kumuingizia kipato ikiwemo Manara TV na kwamba mpira haujampa manufaa yoyote maishani mwake.
Amesema haitaji ukuu wa wilaya wala ukuu wa mkoa wala uwaziri kwa sababu hana uwezo wa kuhamasisha mifugo wala nn, ila in few next days ataitisha Press kuachana kabisa na mambo ya mpira.
Hamtanisikia tena kuongelea mambo ya Simba wala Yanga, nikiacha nimeacha kabisa, si mnanijua, ni kama ninapoachaga mke sirudii tena.
In my point of view, ukiona amefikia hapo jua huko aliko sasa ameshatibuana nao.
Manara ni diala😂😂Kwani yy anachezea namba ngapi?
Upo sahihi kabisa. Yeye alikuwa analeta chuki na angesababisha mauaji yule bila kudhibitiwa mapema. Simba na Yanga toka enzi na enzi walikuwa watani wa jadi na sio.Mahasimu wa jadi. Yeye alileta uadui kati yetu na walichelewa sana kumfungia.Aliamini bila yeye mpira hauwezi kwenda. Sasa vijana wanafanya kazi vizuri kabisa kwa ushirikiano bila kuleteana chuki baina ya vilabu, mashabiki na media.
Ila ahamed Ali yuko vizuri ,kiproffesional