Haji Manara atangaza muda sio mrefu atafanya Press ya kuachana kabisa na mchezo wa mpira

Unawezaje kuvumiliwa sehemu uliyowahi kuwatukana mnoo mnooo waktk upo upande wa pili...sehemu ulosema hawana akili...yani wenye akili clabuni hapo ni 2 tuuu...nani atakupenda huko???
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
halafu ataenda kula polisi? manake hana profession ingine zaidi ya kudanga kwenye izo timu.
 
Kuhusu hilo hata mimi alikuwa anaropoka mpk adui anajua mbinu zako,mfano tutampiga kenge yoyote mbele yetu sasa si ni kauli za kuvunjana miguu hizi!
 
Mjinga kwani anamkomoa nani au anamtia hasara nani
 
Tumempuuza
 
Anamwambia nani?. Kwani kuachana na mpira mpaka afanye Press Conference?. Very stupid.
 
Aliamini bila yeye mpira hauwezi kwenda. Sasa vijana wanafanya kazi vizuri kabisa kwa ushirikiano bila kuleteana chuki baina ya vilabu, mashabiki na media.
Upo sahihi kabisa. Yeye alikuwa analeta chuki na angesababisha mauaji yule bila kudhibitiwa mapema. Simba na Yanga toka enzi na enzi walikuwa watani wa jadi na sio.Mahasimu wa jadi. Yeye alileta uadui kati yetu na walichelewa sana kumfungia.
 
Sijui kwanini jamaa anajipa umuhimu ambao hana. Sijui kwanini anajionaga ni mtu wa thamani sana wakati uthamani huo hana. Mpira wa Tz ulikuwepo kabla yeye na hata huyo baba yake kuzaliwa na utaendelea kuwepo. Yeye atulize kijambio chake sasa.
 
Hivi kwani yupo huyu mtu? Btw shughuli yake ilishaisha kitambo,akubali tu ku move on! Alijiona ndio kila kitu,anashangaa mambo yanazidi kunoga bila uwepo wake..
 
Alikuwa amelewa.Ukimuuliza leo hajui hata alisema nini.Katika wapuuzi wanaoteswa na pombe ni Haji.
Anajifanya mtu wa ibada huku ni mlevi asiyemudu kilevi.Akinusa tu pombe kalewa.Akitangaza kujiuzulu na mambo ya mpira nichagulieni charity yeyote nitatoa laki 2.Hana huo uwezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…