Mmh!! Hivyo hivyo nini mama Sabrina?Kila mtu asifie chake sijutii kuishabikia Simbaaaaa
Haji manara hivyo hivyooo
Banda ajifunze nini kwa Msuva?Who is Banda anyway. Bado ana safari ndefu ajifunze kwa akina msuva na sammata.
Man U au Chelsea nani anaongea na Press kuhusu issue za kiufundi au kuonewa na refa?ukipata jibu ndio utajua Banda yuko sahihi kuona wasemaji wa vilabu ni moja ya vikwazo la soka letuUnajua kazi ya msemaji Wa club?
Kama manala kasomea public relations basi hakuna hata siku moja kafanya inavyotakikna zaidi ya kuitia doa hii proffession ila ukifwaata kama inavyotakiwa ni lazima itakuwa kama ulaya...... Kama jmaa akivyikwambia branding na sio anavuofanya bwana manalaUnadhani mifumo inafanana ya uendeshaji Wa club,?
Wewe sasa ndiyo mwenye mental deficiency hakika.Physical na mental ipi zaidi?jamani tuwe waelewa kuhusu Haji Manara.
psychologically, ni jambo la kawaida kwa maumbile ya kibinadamu kwa mtu mwenye physical deficiency ku compensate mapungufu ya hali alinayo nayo. it comes involuntarily.
anaweza ku compensate hali hiyo kwa kuwa mgomvi sana, mlevi sana, mtukanaji sana, msema ovyo, nk.
so...niwaase wapenzi wa michezo always tuwe tuna sympathize na Haji Manara badala ya kumwona ana matatizo.
Man U au Chelsea nani anaongea na Press kuhusu issue za kiufundi au kuonewa na refa?ukipata jibu ndio utajua Banda yuko sahihi kuona wasemaji wa vilabu ni moja ya vikwazo la soka letu
Uko sahihi mkuu [emoji109]jamani tuwe waelewa kuhusu Haji Manara.
psychologically, ni jambo la kawaida kwa maumbile ya kibinadamu kwa mtu mwenye physical deficiency ku compensate mapungufu ya hali alinayo nayo. it comes involuntarily.
anaweza ku compensate hali hiyo kwa kuwa mgomvi sana, mlevi sana, mtukanaji sana, msema ovyo, nk.
so...niwaase wapenzi wa michezo always tuwe tuna sympathize na Haji Manara badala ya kumwona ana matatizo.
Mfano mjarabu Mkuu!!!Kitendo cha Haji kubeba tivii na Kuwaita waandishi kujadili Makosa ya refa, pale ndio nilipo pata uhakika uyu jamaa ana mushker kichwani.
Kwenye Mpira kunamakosa yanafanywa na refa simba inafaidika na kunamakosa yanafanywa na refa simba inaumizwa. Uo ndiompira braza ata uko Ulaya hivyo ndivyo ilivyo.
Sasa mpiga miguu kaona game liko fair alafu mpiga mdomo anatapika kuwa game haliko fair.Banda ache mwenye kazi ya kipiga mdomo apige mdomo yeye afanye kazi yake ya miguu that's all