Haji Manara atokwa na povu baada ya kulipuliwa na Abdi Banda

Haji Manara atokwa na povu baada ya kulipuliwa na Abdi Banda

Ki binadamu haji ana hali ya mhemko, Kama una haliya ki mihemko auwezi kulizungumza jambo kwa weledi kwakua ile mihemko ni kama kilema.
 
Unajua kazi ya msemaji Wa club?
Man U au Chelsea nani anaongea na Press kuhusu issue za kiufundi au kuonewa na refa?ukipata jibu ndio utajua Banda yuko sahihi kuona wasemaji wa vilabu ni moja ya vikwazo la soka letu
 
Unadhani mifumo inafanana ya uendeshaji Wa club,?
Kama manala kasomea public relations basi hakuna hata siku moja kafanya inavyotakikna zaidi ya kuitia doa hii proffession ila ukifwaata kama inavyotakiwa ni lazima itakuwa kama ulaya...... Kama jmaa akivyikwambia branding na sio anavuofanya bwana manala
 
Viongozi wengi wa mpra tz hawana elimu ya uongozi. Hili ndo tatzo kuu. Ndo wanaoangusha mpra wetu. Hawana focus.
 
Msemaji lazima aongelee Na kuitetea club kwa maudhi kwa raha

Haji yupo sahihi
 
Hugo banda kinacobaki ni kumzomea tu akiwa team ya taifa

Siku akicheza ulaya so atatukanyaga kichwani
 
Hajj kampa Banda ushauri mzuri sana. Tangu atue nchini amekuwa kata mwigizaji. Mara aende ofisi za global mara ofisi za Azam media, mara ofisi za mwananchi nk nk aaaache ushamba na kuuuza sura. Mwanaume unakuwaje na tabia za Kipunga namna hiyoooooo! Ngoja tumtumie Mange akuchambe labda utajirekebisha au ndio mtoto lain lain wa kitanga! Komaaa na Mazoezi uwanja wa Boko, Taifa nk nk nk haya mambo yako ya kuuza uza sura na mdomo mdomo utapotea dogo
 
Haji Manara ndiyo Msemaji wa Club kama alivyo Dr. Abbas kwa serikali. Hawezi kwenda kuita Media kama hana Kibali cha Club. Chochote atakachoongea mbele ya Media kinakua na Baraka za Club. Kwa Maneno haya Inatosha kusema tu wanaomponda Haji Manara. Wanafikiria kwakutumia Kalio zao.
 
jamani tuwe waelewa kuhusu Haji Manara.

psychologically, ni jambo la kawaida kwa maumbile ya kibinadamu kwa mtu mwenye physical deficiency ku compensate mapungufu ya hali alinayo nayo. it comes involuntarily.

anaweza ku compensate hali hiyo kwa kuwa mgomvi sana, mlevi sana, mtukanaji sana, msema ovyo, nk.

so...niwaase wapenzi wa michezo always tuwe tuna sympathize na Haji Manara badala ya kumwona ana matatizo.
Wewe sasa ndiyo mwenye mental deficiency hakika.Physical na mental ipi zaidi?
 
Banda ajikite na soka, bado ana safari ndefu sana na kama ataendeleza taarabu, hatofika huko. S.A ni daraja, asiweke nanga huko.
 
Man U au Chelsea nani anaongea na Press kuhusu issue za kiufundi au kuonewa na refa?ukipata jibu ndio utajua Banda yuko sahihi kuona wasemaji wa vilabu ni moja ya vikwazo la soka letu

Hizo timu ulizozitaja,makocha ndio wanaitwa mameneja. Sisi timu ina meneja na kocha. Ni mifumo tofauti ya kiuongozi,wala tusifananishe Apple na Peas! Kila kitu tunajadili kiushabiki badala ya ukweli. Upuuzi tu.
 
jamani tuwe waelewa kuhusu Haji Manara.

psychologically, ni jambo la kawaida kwa maumbile ya kibinadamu kwa mtu mwenye physical deficiency ku compensate mapungufu ya hali alinayo nayo. it comes involuntarily.

anaweza ku compensate hali hiyo kwa kuwa mgomvi sana, mlevi sana, mtukanaji sana, msema ovyo, nk.

so...niwaase wapenzi wa michezo always tuwe tuna sympathize na Haji Manara badala ya kumwona ana matatizo.
Uko sahihi mkuu [emoji109]
 
Kitendo cha Haji kubeba tivii na Kuwaita waandishi kujadili Makosa ya refa, pale ndio nilipo pata uhakika uyu jamaa ana mushker kichwani.
Kwenye Mpira kunamakosa yanafanywa na refa simba inafaidika na kunamakosa yanafanywa na refa simba inaumizwa. Uo ndiompira braza ata uko Ulaya hivyo ndivyo ilivyo.
Mfano mjarabu Mkuu!!!
 
Back
Top Bottom