rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Duh....Sikubaliani na hoja yako. Kuingia kwy swala la uumbwaji ambao mhusika hana mamlaka nao ni aina ya ubaguzi.
Mimi huwa namuelewa na sisi wana Simba tunamkubali sana tu.
Mshambulie kwa hoja zake na si vinginevyo. Mbona alichoongea ni cha kawaida sana na yeyote anaweza kuongea. Hayo ya kwako umeyatolea wapi ktk maongezi yake??
Sipendi kabisa vijidalili vya ubaguzi wa uumbwaji...eti kisa sijui umesomea vitakataka vyako...mhx!
Manara ana haki ya kuchukuliwa mitazamo yake sawasawa na wengine.
Kama unajua sana basi kamwambie na yule kuwa ufupi wake ndio unamfanya "haambiliki" kama hujanyea debe.
Point ipo hapo kwa nini tusiwe na wasemaji wa aina hiyo?na ndio kisa cha Banda kutoa hiyo tofauti na SA hakuna hayo mambo so inaelekea ni dhambi ku challenge status quo kwenye soka letuHizo timu ulizozitaja,makocha ndio wanaitwa mameneja. Sisi timu ina meneja na kocha. Ni mifumo tofauti ya kiuongozi,wala tusifananishe Apple na Peas! Kila kitu tunajadili kiushabiki badala ya ukweli. Upuuzi tu.
Nawe jamaa unaonekana umeongea kishabiki. Hata kama manara alikosea lakini banda ni mpumbavu, haiwezekani ukasema maneno kama hayo. Zaidi alitakiwa awashkru simba kwa kupita hapo. Ila pia wachezaji wetu hawawezi kuongea mbele ya media. Mfano hata Boko kama captain kuongea kwa kujiamini mbele ya media kua lazima ubingwa tuchukue ni sio vzr lazima uwaheshimu wapinzani wako. Mfano Pep akiongea na media sijawahi msikia akisema lazima achukua ubingwa japo anaongza kwa point nyingi. Hiv Boko akishindwa kuchukua ubingwa atakuja kutuambia nini mana ameshatuaminisha mashabiki. Hata msuva asipo jirekebisha jinsi ya kuongea mbele ya media itampoza. Ukweli Banda kucheza Baroka anajiona yeye kashakua star wa bongo. Wasipoangalia kuongea mbele ya media itawaharibia sana mana always wanandishi wa habari ni wachokozi kwa maswali yao.Hili jamaa ni lijinga sana, ina maana kama banda alisaidiwa na kupitia mikononi kwa simba sport club hana haki ya kuongea au kutoa maoni???
Halafu naona amezunguka sana na hoja butu zisizo na mashiko. Abdi banda amempa za uso kuwa yeye ni moja ya vikwazo vya maendeleo ya mpira wa tanzania , badala ya kujibu hilo jiiwe alilorushiwa matokeo yake ameishia kutapatapa kwa kuwataja wakina samata na msuva.
To be honest haji manara and the likes ni miongoni mwa wadau wanaoshusha soka la bongo. Samuel etoo aliwahi kuwaponda shirikisho la soka la Cameroon kuwa ni kikwazo cha maendeleo kwa soka la cameroon.
Unapojibu hoja njoo na mifano ya halisi hapa Tanzania. Kwa utamaduni wa bongo hakuna kocha ambaye anaisemea timu kama ulaya. Labda kidg saizi namuona kocha msaidizi wa simba akiongea kwenye pre match conference. Lakn always utasikia akina Haji manara. Boniface mkwasa yule wa Azamu nk. Makocha ka hawapo hata maswala ambayo makocha wanatakiwa wasemeMsemaji wa klabu anaisemea klabu sensitive issues mara ya mwisho wewe kumsikia msemaji wa man u Chelsea liver arsenal Madrid nk ilikuwa lini ?
Ila huyu msemaji wetu kila siku ya mungu anaongea ,masuala ya ufundi yeye mechi ikiisha ataongea na kuzungumzia masuala ya ufundi ,kabla ya mechi ataongea ..refa katoa kadi ya njano ataongea
Banda ame experience ligi ya south na kaona utofauti mkubwa ..msemaji wa klabu anakuwa kocha yeye ,mkurugenzi wa michezo yeye ,ufundi yeye mpaka wachezaji wanamdharau
Banda mdigo mbwembwe nyingi tabia za kipwani sana ujuaji ata ile siku ya gemu na Kongo kuna mida timu ilielemewa akawa anawaonyesha wenzake watumie akili sasa si ndio ujuaji kaz za kocha na team captain wataka uzifanye wewe kisa ni pro
Mdigo wa Tanga sio mnyasamdigo au mnyasa?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]banda ni taka taka ,
Hebu tufafanulie Haji anashushaje soka la bongo, yeye ndio strategist wa TFF katika masuala ya soka Tanzania?Hili jamaa ni lijinga sana, ina maana kama banda alisaidiwa na kupitia mikononi kwa simba sport club hana haki ya kuongea au kutoa maoni???
Halafu naona amezunguka sana na hoja butu zisizo na mashiko. Abdi banda amempa za uso kuwa yeye ni moja ya vikwazo vya maendeleo ya mpira wa tanzania , badala ya kujibu hilo jiiwe alilorushiwa matokeo yake ameishia kutapatapa kwa kuwataja wakina samata na msuva.
To be honest haji manara and the likes ni miongoni mwa wadau wanaoshusha soka la bongo. Samuel etoo aliwahi kuwaponda shirikisho la soka la Cameroon kuwa ni kikwazo cha maendeleo kwa soka la cameroon.
Unajua Job description ya msemaji wa klabu ya Chelsea na ya Simba, je zinafanana? Au wote muajiri wao ni mmoja mpaka JD zao zifanane.Msemaji wa klabu anaisemea klabu sensitive issues mara ya mwisho wewe kumsikia msemaji wa man u Chelsea liver arsenal Madrid nk ilikuwa lini ?
Ila huyu msemaji wetu kila siku ya mungu anaongea ,masuala ya ufundi yeye mechi ikiisha ataongea na kuzungumzia masuala ya ufundi ,kabla ya mechi ataongea ..refa katoa kadi ya njano ataongea
Banda ame experience ligi ya south na kaona utofauti mkubwa ..msemaji wa klabu anakuwa kocha yeye ,mkurugenzi wa michezo yeye ,ufundi yeye mpaka wachezaji wanamdharau
Hizo ni disciplines ambazo vyama vya soka vimeweka na mchezaji akiongea kuhusu referee anaweza kula faini kali, ni taratibu walizojiwekea wao, usiige bila kujua backgrounds.Man U au Chelsea nani anaongea na Press kuhusu issue za kiufundi au kuonewa na refa?ukipata jibu ndio utajua Banda yuko sahihi kuona wasemaji wa vilabu ni moja ya vikwazo la soka letu
Sio wachezaji tu hata mashabiki hawatakiwi kuongea kwa kudharau wapinzani wao, hapa Tz ni kawaida shabiki au kiongozi wa timu kusema mechi hii tunashinda, that's being disrespectful kwa timu pinzani.Nawe jamaa unaonekana umeongea kishabiki. Hata kama manara alikosea lakini banda ni mpumbavu, haiwezekani ukasema maneno kama hayo. Zaidi alitakiwa awashkru simba kwa kupita hapo. Ila pia wachezaji wetu hawawezi kuongea mbele ya media. Mfano hata Boko kama captain kuongea kwa kujiamini mbele ya media kua lazima ubingwa tuchukue ni sio vzr lazima uwaheshimu wapinzani wako. Mfano Pep akiongea na media sijawahi msikia akisema lazima achukua ubingwa japo anaongza kwa point nyingi. Hiv Boko akishindwa kuchukua ubingwa atakuja kutuambia nini mana ameshatuaminisha mashabiki. Hata msuva asipo jirekebisha jinsi ya kuongea mbele ya media itampoza. Ukweli Banda kucheza Baroka anajiona yeye kashakua star wa bongo. Wasipoangalia kuongea mbele ya media itawaharibia sana mana always wanandishi wa habari ni wachokozi kwa maswali yao.
Acha unafiki!Murro alikuwa pro kivipi?Unajidai huipendi Yanga?!!Hujioni ulivyo mnafiki mpenzi wa chura fc?!!We haji yanga tu..
Banda yuko sahihi na itabaki hivyo.....we mswahili Fulani hivi....mwenzio alikuwa jerry...kuwa pro kama huyu Wa yanga ingawa timu siiipendi
Pum.bavu kabisa! Msemaji wa Chelsea utamsikia clouds kila siku?Unaelewa kiingereza wewe?Msemaji wa klabu anaisemea klabu sensitive issues mara ya mwisho wewe kumsikia msemaji wa man u Chelsea liver arsenal Madrid nk ilikuwa lini ?